πππUliposema ana miaka 20 alaf ana watoto wawili then ukaja kusema amekua kwenye ndoa kwa miaka mitano. Ikabidi niishie hapo.
Sometimes huwa sipendi ujinga
Amezaliwa mwaka 2000 march, amemaliza std 7 2013, aliolewa 2015 akiwa na 15 yrs. Mtoto wa kwanza akamzaa 2016 na mtoto wa pili 2019.
Kama unahisi chai ngoja nije na mkateView attachment 1470350
ππumesema kweliHata single maza aliekuza mtoto wa kiume asingependa aletewe mkwe single maza
Uliposema ana miaka 20 alaf ana watoto wawili then ukaja kusema amekua kwenye ndoa kwa miaka mitano. Ikabidi niishie hapo.
Sometimes huwa sipendi ujinga
Awajibike kwa mzinifu? Single mama apambane na alomtia mimba huko akija huku anakandwa achanganye mbariga zake.Mfano wa Soda na Single mother wala haviendani na havina uhusiano wowote kwa kuwa soda ni kimiminika hakina hisia lakini huyo Single mother ni binadamu na ana hisia. NINGEKUWA MIMI NINGETENGUA KAULI NA KUOMBA RADHI.
Hujui amepitia wapi na mangapi huyo mama, wengine walitelekezwa, wengine wamefiwa na wapendwa wao ingawa kuna wengine walijitakia wenyewe n.k. Lakini hii haiondoi ukweli kuwa wanahitaji faraja na maisha lazima yaendelee mbele.
Wajibika Mama aishi.
Wanasema ukiwa muongo jitahidi kuwa na kumbukumbuπ€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]π€£π€£π€£π€£π€£[emoji23]
Comment imeshiba hii mkuu kongole kwakoIla jamani kufika miaka kama 15 ijayo
Tanzania itakuwa ni kizazi cha ma baba wa kambo na mama wa kambo. This is not good for our nation jamaani.
Wabongo punguzine mchezo huu, tumieni kinga basi, wengine tumetulia kwa hiyo kuja kuwa mababa wa kambo mtakuwa mnatuonea. Kuna kina dada wametulia kuwa mama wa kambo mna waonea.
Kina dada pia muwe makini usizae na mtu asiye na mpango na wewe. Wale walio fiwa sina tatzo nao.
That's is true watu hawaupendi ukwelYaani andiko hill limekosa like hata mmoja? Tafsiri yake ni nini? bila shaka inaonyesha kiwango cha utovu wa maadili katika jamii kiasi cha kutoona point hata mmoja kwenye andiko lote hili.
Mnashangaa nini? Binti wa miaka 15 hazai?Wanasema ukiwa muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu
Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo?
Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume kuwa mti wa kivuli cha shida zake za hisia, kiuchumi, kijamii, n.k. Wahenga wanasema "moyo wa mapenzi ni kama glasi, ukipasuka ufa wake hauzibiki". Maana yake kupenda hakujirudii mara mbili, hasa hasa mwanamke akisha zalishwa...ni kana kwamba moyo wa kupenda unatoka pamoja na mtoto kule leba.
Wewe mwanaume uliyekamilika na unajiamini unaanzaje kumuoa single mama?? Ona kinyaa ndugu yangu. Single mama alishapenda tayari na ndiyo maana akaamua kumpa yule mzazi mwenzie mpk akapata ujauzito. Si ajabu alimkuta bikra jamaa akaitoa, kisha akarudia na kurudia na kaurudia hadi mimba. Leo wewe mkolomije unaenda kuoa. Acha uzembe kwenye mapenzi.
Tafiti zinaonyesha kwamba mwanaume wanao oa masingle mama wako katika mojawapo ya makundi yafuatayo;-
--hawajiamini
--wanafuata maslahi
--ni washamba washamba Fulani HV
--waliruka stage ktk makuzi yao
WITO: raha ya soda ukute haijaonjwa
********** Mwenye mtazamo sawa na mwanzisha mada*********
**********Ushauri kwa waliooa Single Mothers**********
********** Mama yake amemkata asioe single Mother**********
********** Madhara ya mtoto wa kiume kulelewa na Single Mother**********
********** Kauli zilizowauzi waliokuwa kwenye mahusiano na Single Mothers**********
wanawake wa sasa wanajitambua hawataki kunyanyaswa,
ndio, mwanaume mwingine ana uwezo mdogo wa kufanya maamuzi, lakini hataki mawazo ya mwanamke anaona akiyatumia wawazo ya mwanamke ataonekana hafaiiKwa hiyo moja ya element ya kujitambua kwa mwanamke ni kuwa single maza?
Ukishaanza tu usingo maza ni Kama laana kwa watoto wako nao wataelekea huko hukoKwa hiyo moja ya element ya kujitambua kwa mwanamke ni kuwa single maza?