Mwanaume rijali... mwanaume.. mwanaume mwanaume... heeeeee wapenu break wadada/mama wa watu [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]...single mothers ishi unavotaka maisha ni mafupi mnooo...fall in love ukichoka withdraw and let love rest.... yes I will be a single mother kuliko kuchomwa na mkaa kuuliwa etcetera....na hakuna kitu utanifanya...ukijifanya kidume ninaleft the group.. wanaume wenyewe wa siku hizi Kina Mr five seconds [emoji23][emoji23].... Mwanaume rijali Yuko kimyaaaaaa...kimyaaaa[emoji847][emoji847]

Marriageisnotmypriority [emoji57][emoji57][emoji57]
 
vipi alikupiga huo mzinga?
 
Anything you say shall and will be used against you by KARMA.
 
Sisi tunazungumzia wale mwanakulifind mwana kuliget
 
Sisi tunazungumzia wale mwanakulifind mwana kuliget
Huyo mwanakulifind alijipa mimba....[emoji57][emoji57]... Nawahurumia wanaume wanaowasema single mothers...na utazaa baby gals bro.. anyway...nice post[emoji485][emoji485]
 
Kumbe uzi wako waliuunganisha huku bwana Samson
 
Huyo mwanakulifind alijipa mimba....[emoji57][emoji57]... Nawahurumia wanaume wanaowasema single mothers...na utazaa baby gals bro.. anyway...nice post[emoji485][emoji485]
Acha kutetea mambo ambayo haujui source ni nini. Mimi nakwambia hivi nina experience na tabia na mwenendo wa wanawake sababu nimeishi nao na marafiki zangu wa karibu wameishi nao pia....

So ninachokizungumza ni something from experience.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanz kabisa umeandika barua au waraka 2, umetufokea, 3,hatujaelewa.. 4, jifunze ufupisho
 
Kwanz kabisa umeandika barua au waraka 2, umetufokea, 3,hatujaelewa.. 4, jifunze ufupisho
Ni kama chadema kusoma waraka wa CCM or kinyume chake. Ni ngumu kuelewa kama tayari umeshakaa katika position ya kupinga kila unachoelekezwa kuhusu jambo.

Wewe umeshachagua kukaa upande huo ulipo so endelea kuutetea. Mwisho wa siku sote tunajua kuwa Facts lakini kuna Ukweli. Don't mix the two.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…