Nimeamin sisi wanaume si watu wazuri we utakua kuna singo mama unamfukuzia humu una pretent akinasa amekwishaSalute to all the single mamas. Ukiona mtu anaongea ongea sana kuhusu single mothers ujue kuna issue haiko sawa upande wake. Nakupenda sana wewe single mother. If you do me the honour I'll marry you. [emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaaWewe unakwepa matunzo au..?
Hujui kuna wanawake wamezaa na wanajiweza kimaisha na wanao uwezo wakukutunza hata wewe mkwepa matunzo?
Kama ni hivyo mtoa mada angetoa mada yake iki-base kwa wale ambao hutegemea kutunziwa watoto wao na wanaume wanaowaoa wakiwa wana watoto.
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Nimekupenda sanaMfano wa Soda na Single mother wala haviendani na havina uhusiano wowote kwa kuwa soda ni kimiminika hakina hisia lakini huyo Single mother ni binadamu na ana hisia. NINGEKUWA MIMI NINGETENGUA KAULI NA KUOMBA RADHI.
Hujui amepitia wapi na mangapi huyo mama, wengine walitelekezwa, wengine wamefiwa na wapendwa wao ingawa kuna wengine walijitakia wenyewe n.k. Lakini hii haiondoi ukweli kuwa wanahitaji faraja na maisha lazima yaendelee mbele.
Wajibika Mama aishi.
nmecheka sana i kauli aseeee dahhhhhhhhhhh, nomaaaaaHakuna mtu anayependa ukoko ama kiporo.....ni dhiki tu
Huyo kaachwa single mother akatake place sasa kaja hapa kupoza machungu kwa kuwaponda.Nasikitika kusema mleta uzi huu pasi na shaka ;
1. ana mawazo mgando,
2. hajui tafasiri sahihi ya ndoa, 3.yupo stage ya nyuma kuhusu ufahamu wa ndoa,
4. anaishi maisha ya kuigiza.
5. Hayupo halisi katika maisha.
6. Hufanya mambo ili aonekane na watu.
7. Hajakua bado (not matured), kama ni wa kiume basi He is still a boy... na kama wa kike basi ni kale kasichana kasikojielewa bado na kanakaa kwa baba na mama.
8.
9.
10.
8,9 na 10 yalikuwa ni magumu zaidi,utashi wangu umenizuia kuandika.
AKIREPLY HII NAKUJA NA 8,9 na 10.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama tutaanza kuongelea special case tutapindisha kila kitu, maana kila single mama ana case yake ambayo kwako inaweza isiwe special lakini kwangu ikawa special. Kiufupi hoja iliyoletwa haina mashikoKwan sio singo mama
Ye pia ni singo mama japo ni mjane
Lakin hiyo inatokea mara ngapi/asilimia ngap?
Hiyo ni special case
Sent using Jamii Forums mobile app
Nshakwambia mjane =singo momKama tutaanza kuongelea special case tutapindisha kila kitu, maana kila single mama ana case yake ambayo kwako inaweza isiwe special lakini kwangu ikawa special. Kiufupi hoja iliyoletwa haina mashiko
Naomba uniambie hilo jina maana mimi sijui!!
Ahsante sana!!
Mkashindwana nini?Acha urongo.Nimedate single mums wawili.Ukweli ni kwamba wana upendo mnoo.
Wote bado niko nao.Tupo vzur tu.