dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Mbona tunaolewa na vijana Tena mashababi na mabarobaro yenye nguvu na pesa zao, kalaghabaoSingo maza ni faraja ya wazee wa miaka 60...
Kijana shababi kuoa singo maza ni upumbafffff!
Single Mama wengi Hudanganywa na mwonekano wa vijana pasi ya kuangalia Vichwani mwa vijana hao na mwishowe hujikuta kujuta,There is so much judgement ya ma-single mother humu ndani sijui waliwakoseaga nini maskini ya Mungu... kama kweli au sio kweli kuhusu hizi tabia zao mkumbuke some of u ndo mmewazalisha wadada wa watu bila ndoa na mkawaacha... hawa ni mama wa watoto wenu despite it all wao bado ni binadam na hawajakamilika. Sidhani kuna mtu anaamuaga tu kua single mother ni circumstances hutokea na naamini kila mwanamke angetamani mwanae alelewe na mapenzi ya both parents ila ndo hivyo. Hizi tabia zao nyingine (kama ni za kweli) ni kwasababu ya frustrations za failed relationships na majukumu ya watoto sometimes tujaribuni kuvaa viatu vyao...
Tatizo mnapanuapanua miguu kiholela na kushikashika mimba, licha ya elimu yote inayotolewa bado mnashika mimba kiholela.. Kwanini hamuwezi kujizuia msishike mimbaMbona tunaolewa na vijana Tena mashababi na mabarobaro yenye nguvu na pesa zao, kalaghabao
Zaeni mkaongezeke hili ni agizo la kwanza pale tu walipoumbwa mwanaume na mwanamke,Tatizo mnapanuapanua miguu kiholela na kushikashika mimba, licha ya elimu yote inayotolewa bado mnashika mimba kiholela.. Kwanini hamuwezi kujizuia msishike mimba
Wanawake wote wapo hivyo sio nsingke mothers tuu.Siku zote SINGO maza niwatafuta maisha,usizan anaweza penda
Si kweli. Tatizo kubwa sana siki hizi wanaume wengi wana kipato kidogo na wameishiwa na ubunifu wa kukuza vipato vyao.Siku zote SINGO maza niwatafuta maisha,usizan anaweza penda
Mbona tunaolewa na vijana Tena mashababi na mabarobaro yenye nguvu na pesa zao, kalaghabao
singo maza watam sana, date nao tu kumalizia ham zako za kingono
hawajui kukataa
Wapo wanawake wengi tu ambao wakati wanaolewa hawakuwa single mothers but still wanakimbia ndoa zao na kwenda kuishi na wanaume wengine!
Je, hapo napo utasema "Don't trust single mothers" au?!
Halafu hizi kelele za "ndoa hivi" "ndoa vile " "ndoa hivi "! "Mara ndoa vile"! Lakini stori nyingi ni za maumivu tu! Sasa how come hamkomi kuoa?! Mmeambiwa msipokuwa kwenye ndoa mtakufa, au?!
Halafu wanaume ndo wanaongoza kulia lia hapa JF wakati ndo hao hao walioshika mpini wa maamuzi kama ni kutaka kuoa au hapana!
Sawa wapo wenye ujasiri wa kuoa single mothers but olewa uzae na mumeo kwa utaratibu mzuri,Zaeni mkaongezeke hili ni agizo la kwanza pale tu walipoumbwa mwanaume na mwanamke,
Yapo makundi matatu, single ladies wasio na watoto, single mama na single mama wa marehemu, utajua uchague yupi hapo
Ila huku kitaa single mama wanaongoza kwa kuolewa,
Endeleeni kuumia ila ukweli ndo huo wanaolewa sana Tena nyie waoaji ndo wa kwanza kutaja kigezo cha mke, awe na mtoto.Hasira, povu na wasiwasi kunaweza kufanya usifikiri kwa njia nzuri kupingana na ukweli, hivyo jitahidi kuwa mtulivu.
Ni upumbaffff!
Sawa wapo wenye ujasiri wa kuoa single mothers but olewa uzae na mumeo kwa utaratibu mzuri,
Ila pia kitu napenda kwa hawa single mama wengu hawajui kukataa na wengi wanakuwa wamekomaa kiakili licha ya Umri mdogo, ninae mmoja aisee ni mzuri sana na ana heshima, huwa tunakutana kila tukikumbukana nampa show na nampa sapoti kidogo alee kabinti kake ambako jamaa aliingia mitini, sometimes unajiuliza jamaa aliachaje Huyu mwanamke [emoji16][emoji16]
Endeleeni kuumia ila ukweli ndo huo wanaolewa sana Tena nyie waoaji ndo wa kwanza kutaja kigezo cha mke, awe na mtoto.