Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Wapo wanawake wengi tu ambao wakati wanaolewa hawakuwa single mothers but still wanakimbia ndoa zao na kwenda kuishi na wanaume wengine!

Je, hapo napo utasema "Don't trust single mothers" au?!

Halafu hizi kelele za "ndoa hivi" "ndoa vile " "ndoa hivi "! "Mara ndoa vile"! Lakini stori nyingi ni za maumivu tu! Sasa how come hamkomi kuoa?! Mmeambiwa msipokuwa kwenye ndoa mtakufa, au?!

Halafu wanaume ndo wanaongoza kulia lia hapa JF wakati ndo hao hao walioshika mpini wa maamuzi kama ni kutaka kuoa au hapana!
 
There is so much judgement ya ma-single mother humu ndani sijui waliwakoseaga nini maskini ya Mungu... kama kweli au sio kweli kuhusu hizi tabia zao mkumbuke some of u ndo mmewazalisha wadada wa watu bila ndoa na mkawaacha... hawa ni mama wa watoto wenu despite it all wao bado ni binadam na hawajakamilika. Sidhani kuna mtu anaamuaga tu kua single mother ni circumstances hutokea na naamini kila mwanamke angetamani mwanae alelewe na mapenzi ya both parents ila ndo hivyo. Hizi tabia zao nyingine (kama ni za kweli) ni kwasababu ya frustrations za failed relationships na majukumu ya watoto sometimes tujaribuni kuvaa viatu vyao...
 
Single Mama wengi Hudanganywa na mwonekano wa vijana pasi ya kuangalia Vichwani mwa vijana hao na mwishowe hujikuta kujuta,
Uzoefu wangu kwa Single mothers wengi niliokutana nao (na baadhi yao kuwala) waliwakataa vijana waliokuwa na malengo nao kisa Kijana handsome boy mwenye six pack bila hata kuangalia kichwani kuna nini,

Unakuta jamaa limezalisha mabinti kadhaa kitaa na bado halina mbele wala nyuma na bado linaendelea kuzalisha wengine, watalelewa vipi na watasomaje yeye hiyo siyo kazi yake na videmu vinaendelea kumpanulia mapaja kama kawaida,
Au Unakuta binti anapenda kijana hana mbele wala nyuma kisa tu handsome na ana mwonekano mzuri kama Game Over mwishowe anazalishwa na kutupwa mbali,
Iwe funzo. Binti usidanganywe na Uzuri wako, ukishazaa tu na kuachwa huna jipya tena hata kama una miaka 17,
Na hakuna Mwanaume anaejielewa na anaekupenda atakuzalisha akakuacha, Hayupo. Wengi wa wanaume hatutaki kabisa kuzaa na mwanawake zaidi ya mmoja..
Tatizo mkishakuwa na urembo wa teenage na hizo tamthilia mnazoangalia basi mnajikuta wajinga kabisa
 
Mbona tunaolewa na vijana Tena mashababi na mabarobaro yenye nguvu na pesa zao, kalaghabao
Tatizo mnapanuapanua miguu kiholela na kushikashika mimba, licha ya elimu yote inayotolewa bado mnashika mimba kiholela.. Kwanini hamuwezi kujizuia msishike mimba
 
Zaeni mkaongezeke hili ni agizo la kwanza pale tu walipoumbwa mwanaume na mwanamke,

Yapo makundi matatu, single ladies wasio na watoto, single mama na single mama wa marehemu, utajua uchague yupi hapo

Ila huku kitaa single mama wanaongoza kwa kuolewa,
 
Mbona tunaolewa na vijana Tena mashababi na mabarobaro yenye nguvu na pesa zao, kalaghabao

Hasira, povu na wasiwasi kunaweza kufanya usifikiri kwa njia nzuri kupingana na ukweli, hivyo jitahidi kuwa mtulivu.
Ni upumbaffff!
 
singo maza watam sana, date nao tu kumalizia ham zako za kingono
hawajui kukataa

Mwanadamu yeyote akiwa na cha ku compare ni changamoto, ndo maana tumenyimwa tumia papuchi kabla ya ndoa

Utajuaje Ina maji kama ujala ingine, utajuaje ni kubwa kama ujakutana na ndogo? Sasa mwenye Mtoto Labda uwe na fedha ya kumweka, otherwise utalizwa tu
 
Sikuwahi kujutia kuwa single mom! Na ikitokea kwa mara nyingine sitajuta. Ili mradi najijua mimi nipo vipi na mapungufu yangu ni yapi na kwanini ndoa haijawork.

Hizi habari za kuwafanya single mom wajione ni viumbe wa ajabu wasiostahili mahusiano/ndoa nzuri ni ukosefu wa akili tu.

Kwa hiyo single mom ambao waume/waliozaa nao wamefariki wao mnawaambiaje? Walioamua kukimbia vipigo, matusi , udhalilishaji, misongo ya mawazo ili tu wabaki hai kulea watoto wao nao mnawaweka kundi gani?

Nikiona mtu anajumuisha single moms wote kwenye tabia ya mwanamke mmoja asiyejielewa kwa kweli huwa namshusha thamani sana na napata wasiwasi na uelewa wake.
 
Wapo wanawake wengi tu ambao wakati wanaolewa hawakuwa single mothers but still wanakimbia ndoa zao na kwenda kuishi na wanaume wengine!

Je, hapo napo utasema "Don't trust single mothers" au?!

Halafu hizi kelele za "ndoa hivi" "ndoa vile " "ndoa hivi "! "Mara ndoa vile"! Lakini stori nyingi ni za maumivu tu! Sasa how come hamkomi kuoa?! Mmeambiwa msipokuwa kwenye ndoa mtakufa, au?!

Halafu wanaume ndo wanaongoza kulia lia hapa JF wakati ndo hao hao walioshika mpini wa maamuzi kama ni kutaka kuoa au hapana!

Yaani umeongea point kabisa. Nashangaa wanaume sie tunalalamika nini wakati solution simple kabisa...wee kamata warembo wagegede basi. Huna shida ya kuoa mwanamke wee unabadilisha tuu kila leo.
 
Zaeni mkaongezeke hili ni agizo la kwanza pale tu walipoumbwa mwanaume na mwanamke,

Yapo makundi matatu, single ladies wasio na watoto, single mama na single mama wa marehemu, utajua uchague yupi hapo

Ila huku kitaa single mama wanaongoza kwa kuolewa,
Sawa wapo wenye ujasiri wa kuoa single mothers but olewa uzae na mumeo kwa utaratibu mzuri,
Ila pia kitu napenda kwa hawa single mama wengu hawajui kukataa na wengi wanakuwa wamekomaa kiakili licha ya Umri mdogo, ninae mmoja aisee ni mzuri sana na ana heshima, huwa tunakutana kila tukikumbukana nampa show na nampa sapoti kidogo alee kabinti kake ambako jamaa aliingia mitini, sometimes unajiuliza jamaa aliachaje Huyu mwanamke [emoji16][emoji16]
 
Hasira, povu na wasiwasi kunaweza kufanya usifikiri kwa njia nzuri kupingana na ukweli, hivyo jitahidi kuwa mtulivu.
Ni upumbaffff!
Endeleeni kuumia ila ukweli ndo huo wanaolewa sana Tena nyie waoaji ndo wa kwanza kutaja kigezo cha mke, awe na mtoto.
 
  • Thanks
Reactions: K M
Akili imekukaa eeh,, hongera kumpata anaejitambua unafurahia maisha tu au sio
Sawa wapo wenye ujasiri wa kuoa single mothers but olewa uzae na mumeo kwa utaratibu mzuri,
Ila pia kitu napenda kwa hawa single mama wengu hawajui kukataa na wengi wanakuwa wamekomaa kiakili licha ya Umri mdogo, ninae mmoja aisee ni mzuri sana na ana heshima, huwa tunakutana kila tukikumbukana nampa show na nampa sapoti kidogo alee kabinti kake ambako jamaa aliingia mitini, sometimes unajiuliza jamaa aliachaje Huyu mwanamke [emoji16][emoji16]
 
Endeleeni kuumia ila ukweli ndo huo wanaolewa sana Tena nyie waoaji ndo wa kwanza kutaja kigezo cha mke, awe na mtoto.

Hilo halina ubishi wanaolewa na wazee - tena wale wazee ambao hawana wajukuu hilo ndilo sharti lao.
 
Back
Top Bottom