Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
AbadaniUna muda sana aisee.....
Na kwa vile huyu mmoja yuko hivi, ina maana single parents wote wako hivyo? Ninaye rafiki yangu kaoa single parent tena wa watoto wawili wote na baba tofauti lakini ndiyo role model wangu wa ndoa yenye furaha, amani na maelewano. Ni power couple moja matata sana!
Umalaya ni tabia ya mtu na sidhani kama kuna causal relationship kati ya kuwa single parent na umalaya. Wewe oa ambaye siyo single parent lakini kama ni kuchapiwa utachapiwa tu!
Umemjibu vzr sana mm nashangaa why mnatusema tulio oa single maza mbn mnatusema sana aisee kila mda mm nimeoa single maza am proud with my wife Lilian nilimkuta akiwa single mother tuna watoto 7 ukijumlisha na wakwake tupo kwenye ndoa almost miaka 19 now na tumepishana miaka 2 tuu nimemuoa akiwa na miaka 17 tuutayari alikuwa na mtoto wa miaka 3..Mkuu, kuna tofauti kubwa kati ya "umalaya" na being a "single parent"
Kwaleo naomba niishie hapa...
Hongera tele zikufikie, na pia fikisha salam zetu nyingi kwa mke wako pendwa Lillian.....Umemjibu vzr sana mm nashangaa why mnatusema tulio oa single maza mbn mnatusema sana aisee kila mda mm nimeoa single maza am proud with my wife Lilian nilimkuta akiwa single mother tuna watoto 7 ukijumlisha na wakwake tupo kwenye ndoa almost miaka 19 now na tumepishana miaka 2 tuu nimemuoa akiwa na miaka 17 tuutayari alikuwa na mtoto wa miaka 3..
Mimi na huyu mwanamke tuna story ndefu sana aisee alipewa mimba akiwa na umri wa miaka 14 tu tulioana tukiwa wadogo sana alipewa mimba akaacha shule alirubuniwa na house boy wao imagine akacha shule nilivyomuoa kipindi icho ana miaka 17 nilimsomesha akasoma kwa kuunga unga now ni nesi wa hospital moja ya serikali uku njombe analea watoto wangu vzr tuu na tunaishi vzr tuu cjawai ona baya lolote kwangu hana tabia za kimalaya c muhuni ni mwanamke wa kibena mwenye heshima zake.
I love her aninijali sana uwezi amini tokea 2001 mpaka leo tupo pamoja na tuna watoto wakubwa sana iyo yote ni neema tuu ya Mungu mtoa mada ngoja nikwambie kitu umalaya wa mwanamke upo ndani yake unaweza ukakuta mwanamke co single naza lkn ni malaya balaa na ukakuta ni single maza lkn sio malaya hata
Kumbuka upside down kwenye maisha uwa zinatokea kuwa single maza sio umalaya au sio kupenda ni maisha tuu kwaiyo bac usiwabeze na kuwambia watu wasioe single maza uyo rafiki yako kaoa malaya mwanamke awezi kukuona unakitambi eti ndo asikupende uyo ajakupenda kwa dhati mwanamke anae kupenda kwa dhati awezi kukusema eti mm sipendi kitambi..
ACHENI KUWASEMA SINGLE MOTHER NI WANAWAKE WAZURI TU,KUWA SINGLE MATHER SIO KUWA MALAYA.
Ila mkuu wewe ni mbea sana kusema ukweli, yani hadi ukajenga ukaribu na house ukaanza wafuatilia, huo muda unaupata wapi. Ila theme ya story nimeipata namimi sitothubutuSwaiba yangu wa karibu sana anaishi Mombasa but familia yake ipo Dar huwa anakuja once in a month!
Mke wake aliwahi kuzaa before marriage na bahati mbaya sasahivi mkewe na baba mtoto wake wa kwanza/ex wamerudiana kimya kimya na wanapasha viporo.
Swaiba yangu alikuwa haishi kuniambia kama kuna mtaalamu wa natural herbs nimconnect apate dawa za kupunguza kitambi sikumwelewa!
Kumbe mkewe hapendi kitambi na huyo baba watoto wake ana six packs mbavu nene.
Nilivyobahatika kumwona kwenye birthday ya huyo mwanaye ndipo nilipopata picture baada ya kumwona yule ex amejaza kifua na six packs za hawa vijana ambao mostly are jobless nikaconnect dots.
Ikanibidi nianze kufanya uchunguzu yakinifu nikaanza kujenga ukaribu na house girls wake nikapata some info though sikutosheka ikabidi niwe ninafatilia nyendo za huyu shemeji yangu ebhana sikuamini kuwa yule six packs analala mule mule ndani ya nyumba ya swaiba yangu na gari anatumia ya shemeji yangu.
Sio siri nimeumia sana but I can't manage to tell the truth to my friend.
Ninahofia nikimwambia ukweli;
1,Nitaharibu ndoa yao
2, Nitaharibu maisha yao
3, Nitaharibu maisha ya watoto wao
4, Nitasababisha vita kali sana.
Mnanishauri nini wadau juu ya huyu swaiba yangu?
Mimi ninawashauri msioe single mothers ambao baba zao wapo hai jamani hawa watu hawaachanagi jumla na baba watoto wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante broHongera tele zikufikie, na pia fikisha salam zetu nyingi kwa mke wako pendwa Lillian.....
Nami nafurahisa sana maisha na mke wangu mpenzi alienikuta nikiwa singo baba wa watoto kadhaa na sasa tuna jumla ya watoto saba....
Mungu awatunze na awape maisha marefu yenye furaha na amani tele...🌹Asante bro
Sasa si nilikuwa nakuwakilisha bro
Kama unampenda mlengeshee basi ili aamue yeye mara zote tunasaidiana.Swaiba yangu wa karibu sana anaishi Mombasa but familia yake ipo Dar huwa anakuja once in a month!
Mke wake aliwahi kuzaa before marriage na bahati mbaya sasahivi mkewe na baba mtoto wake wa kwanza/ex wamerudiana kimya kimya na wanapasha viporo.
Swaiba yangu alikuwa haishi kuniambia kama kuna mtaalamu wa natural herbs nimconnect apate dawa za kupunguza kitambi sikumwelewa!
Kumbe mkewe hapendi kitambi na huyo baba watoto wake ana six packs mbavu nene.
Nilivyobahatika kumwona kwenye birthday ya huyo mwanaye ndipo nilipopata picture baada ya kumwona yule ex amejaza kifua na six packs za hawa vijana ambao mostly are jobless nikaconnect dots.
Ikanibidi nianze kufanya uchunguzu yakinifu nikaanza kujenga ukaribu na house girls wake nikapata some info though sikutosheka ikabidi niwe ninafatilia nyendo za huyu shemeji yangu ebhana sikuamini kuwa yule six packs analala mule mule ndani ya nyumba ya swaiba yangu na gari anatumia ya shemeji yangu.
Sio siri nimeumia sana but I can't manage to tell the truth to my friend.
Ninahofia nikimwambia ukweli;
1,Nitaharibu ndoa yao
2, Nitaharibu maisha yao
3, Nitaharibu maisha ya watoto wao
4, Nitasababisha vita kali sana.
Mnanishauri nini wadau juu ya huyu swaiba yangu?
Mimi ninawashauri msioe single mothers ambao baba zao wapo hai jamani hawa watu hawaachanagi jumla na baba watoto wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3]Singo maza tusiwaowe ila tusiache kuwapakia vumbi la kongo
Afadhali kidogo japo sio salama sanaVipi kuhusu ambao waliachwa kwenye ndoa bila mtoto ?
Msalimie mahondaw Aisee sijamuona muda mrefu humu😘
Being jobless it's not a disease or disaster but temporary life situation!Mbona sasa wewe ndio 'jobless'?
Huo muda wa kumchunguza mwanamke wa mwenzio ungekua umezalisha kitu,
Ps: usipende kufukunyua mahusiano ya watu, waweza kuta rafiki yako amebariki kabisa mahusiano ya huyo 'six packs' na mkewe.