Yaani huyo haoni hata aibu kupretend...she is not real..afu pia anakuona mlugaluga kukuletea pozi za kizamani akidhani ndo utamuona anafaa wakati kumbe analeta stress. Weka ugoko aweke jiwe ndo utajua
 
Asipojithamini yeye binafsi, atathaminiwa na nani, kama watongozaji ndio wa aina yako?
 
Huo mlango wa 7 yani ni mpigaji kana papa msofe
 
Kabla sijafika paragraph ya mwisho, nlivosoma tu iyo paragraph ya 3 nilijua tu huyo single Mother ulie naye ni golddigger, havutiwi na wewe kimapenzi, anakupendea hela.. Kumbuka hii redpill fact, "women make rules for betas but Break rules for alphas" The Bliss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…