[emoji16][emoji16][emoji16]
 
"Lakini kiukweli nahitaji kumjua sana kabla sijaingia chaka maana I have trust issue!" TATIZO LIPO KWAKO UMESHAMJUA KUWA HAFAI UNATAKA NINI TENA.
Kiukweli achana na uyoo bi dada utakufa kichwa chini miguu juu anatafuta njia yakumringishia mzazi mwezie huna haja ya kumjua snaa kikubwa achana naye utakuja Lia na kusema Bora ningetafuta ambaye hajazalishwa
 
Katika maisha kila binadamu ana mawazo yake na mtazamo kuhusu jambo fulani. Kiuhalisia hakuna mwanamke duniani anayependa kuwa single maza anayependa kulea mtoto mwenyewe bali asilimia kubwa ni changamoto tu mahusiano kwani siku zote moyo wa mtu ni kichaka.

Ktk hali ya kawaida mara ngapi wanaume wanaanzisha mahusiano na wanawake wanawekeza muda wao nguvu zao na matumaini kuwa huyu binti/ mwanamke siku moja atakuja kuwa mke wangu lkn mwisho wa siku anaachwa mwanaume. Sasa kwa mazingira hayo hayo ndio yanayotokea kwa single maza.

Hivyo tusiwe wepesi wa kuwahukumu kuna sababu mbalimbali zinazopelekea hayo-
1. Kuna kubakwa.
2. Kutokubaliana na tabia mbaya za mtu ambazo hazibebeki na kuamua kumove on.
3.Kuingia kwenye mahusiano mabaya ( moyo wa mtu kichaka)
4. Kumwamini mtu kupitiliza.
5.Na asillimia chache sana wapo wanaojishikisha ili kuwin upendo wa mwanaume ila hii ni kwa wale wanawake wenye IQ ndogo ya kufikiri.

Hivyo if you can't help them don't hurt them. Hata kama hamuwezi kuwaoa basi msitoe maneno ya kejeli. Imagine angekuwa dada yako ndo single unaweza kuongea haya kwa ujasiri.

Ni mawazo yangu lakn.
 
Kama ni mwenye jiko hapo sinza mchagga achana naye utakuja jutia maamuzi yako mbeleni
 
[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…