Najua jambo hili limezungumzwa hapa mara nyingi na hata baada yangu litajadiliwa mara nyingi kwa ustawi wa jamii yetu. Pia niweke wazi japo jambo lenyewe liko wazi ila kuna watu ni vinganganizi na mabish wasio na maarifa,

Japo pia andiko kangu halikusudii ati ndio uwachukie hapana tafadhali usifanye hivyo wamepitia mazito sana tayari ila tena unaweza kuwasupport financially au emotionally kwa kuwasikiliza madhila yao na kuwapa moyo ila KAMWE sio kuoa wala kudate nao utawaumiza yaidi na utaumia pia.

YOU CAN'T BE A WOMAN'S HERO WITHOUT ENHERITING HER PROBLEMS, NEVER.

1. Kwanini uendeleze matatizo ya mwanaume mwingine, kwamba wewe ndio una huruma sana no wewe ni mjinga sana.

2. Single mon daima priority yake ni mtoto/watoto wake period. Wewe kwake utakua namba mbili au tatu na hilo sio kwa ubaya ndio walivyoumbwa.

3. Hana uanamke ndani yake, kutokana na kulea mwenyewe single moms wanajikuta wanadevelop masculinity na kua na mwanamke wa kaliba hii ni sawa na kumuoa Rashidi (mwanaume mwenzako)

4. Broken beyond reppair. Hivi unajua maumivu aliyopitia ?! Single moms wamepitia maumivu makali na kuwahribu kabisa, hata ufanyie nini chuki dhidi ya wanaume haitomtoka kamwe. (Why would you chose to date such a woman who is like a time bomb ready to blow up)

5. Je unajua ni kwanini aliemzalisha alimuacha ?! Hongera kwa kujifanya kichwa maji marry her and you will soon find out, but hey, sorry for you it will be too late.

6. She will use you. Single moms akili yake hua inawaza mtoto make tu, yuko tayari kufanya lolote. Hata kuingia kwenye mahusiano hua ameshatazama uwezekano wa mwanae kupata mahitaji. Hakunaga eti single mom kakupenda NEVER kwao upendo ulishakauka.

Nirudie kusema usiwachukie maana wamepitia magumu mengi mimi na wewe hatujui ila huruma yako isikufanye umuoe UTAJUTA.
 
Makabila yetu mengi huo ndio utamaduni. makabila mengi kuoa KAYAMBA siyo aibu , ni sawa kabisa na ndiyo maana mtu anatolewa mahari hata mara 20 idadi ya wanaume waliomuoa!...pwani yote , usukumani, and many more tribes!
 
Kuna Single mother alizalishwa 2018 Sasa mwanaume aliyemzalisha anataka kumuoa Cha ajabu singo mother hataki anataka kuolewa na mwanaume mwingine, singo mother akili zao wanazijua wenyewe.
 
Huko ndan kuna povu la hatari!
nimesoma pages 8 tu[emoji3]
 
Haya mambo hayana uhalisia

By my side naona ili uishi na single mother kwanza kabisa mfanye kuwa na amani ya moyo

Hakuna mwanamke ambae anaweza kuacha amani ya moyo

Wengi wao huwa wanarudi kwa wazazi wenza ili wapate value kama wanawake wengine
Sometime men tunakosea tunadhani ukioa single mother basi umepata mwanamke aliyekamilika (hatutaki wakosee hata kidogo)

Merry her mpe amani ya moyo kwa kuwa yeye anakupenda basi mlipe na yeye upendo kwa kumpenda mtoto wake

For single mother kama mzazi mwenzio hana msaada kwa mtoto na hafanani na mtoto mwambie kuwa huyo sio mwanae itakusaidia yeye kuondoka kwenye life lako........inahitaji roho ngumu saana kuowa mwanamke ambae bado anaitwa wifi na watu ambao sio dada zako
 
Anawezaje kuwa na hizo tabia akawa single mom?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…