Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Nani alikuambia kwamba mwanamke aliyetotoa sio mtamu?Kwanza mimi nikiona aliyezaa naona kama katoka barabarani. Afadhali Wema kuliko Kajala (kesha totoa)
Ungejua usingekuwa na hayo mawazo. Nimwache nyumbani aliyetotoa nihangaike na aliyetotoa nje?Nani alikuambia kwamba mwanamke aliyetotoa sio mtamu?
Achana na akili za kivulana mkuu
HAHAHAHAHAKila mtu aolewe na aliyemzalisha
Nina ujuzi wa kutosha kuhusu ubora wa single motherUngejua usingekuwa na hayo mawazo.
Wanaume wenye akili kubwa wanawaoa kwa kweli.Wanaolewa mbona tena sana tu inategemea nyota π
Hangaika na magumegume yakoNina ujuzi wa kutosha kuhusu ubora wa single mother
Mimi sio muoga lakini ili nimuweke single mother ndani labda anioneshe kaburi la baba mtoto wake, wanaume tunajuana tabia zetuNa wewe nikuweke ktk kundi la wanaume waoga?
ID yako imesadifu mawazo na mambo yanayofanyika pale kambi ya fisi.....Kiukweli hakuna ubaya kumchumbia single mother na kumuoa huyo mama asiye na mwenzi. Hata kama amezaa, mtoto aliyemzaa na mwanaume mwingine ni baraka kabisa.
Cha muhimu ni kwamba nyote wawili mnapendana na mmejitolea kufanya uhusiano wenu ufanye kazi. Hivyo ukimpata single mother na mkapendana nyote muoe tafadhari hata kama ana watoto watatu oa tu.
Mtume Muhammad ni mfano wa kuigwa hakumuogopa bi Khadija. Jifunzeni kwa huyu mtumishi.
Enyi wanaume waoga acheni ushamba.
Na wewe nikupeleke ktk kundi la wanaume waoga?ID yako imesadifu mawazo na mambo yanayofanyika pale kambi ya fisi.....
Huko ni kutokujiamini kabisa so una haki ya kuitwa muogaMimi sio muoga lakini ili nimuweke single mother ndani labda anioneshe kaburi la baba mtoto wake
Sasa we kambi ya fisi unajua huku mtaani wanawake ambao hawajazaa ni wengi Sana sasa ukioa single mother je inakuaje kwa hawa ambao wamejitunza na hawajazalishwa binafsi uo ni ukatili wa kihisia Kuna mademu wabichi wamemaliza form four na hawana watu wakuwaoa then tuwaache ao tuvamie mademu ambao wamezalishwa ina make sense?Na wewe nikupeleke ktk kundi la wanaume waoga?
Alikuwa single mom na umri ulikuwa umeenda Ila aliolewa tu na kijana tena mtumishi wake mwaminifuHuyo bi khadija alikuwa mjane au aliyeterekezwa/mtarakiwa ?
Ita vyovyote uwezavyo...Na wewe nikupeleke ktk kundi la wanaume waoga?
Nna kishikwambi, vipi tukuletee bwana karani?Naanza kuhesabu wanaume waoga
1. Dr Haya land π
Hao unaowapigia debe wengi wao wana akili za kitoto hivyo ukioa unakuwa kama litoto tu, ila kwa single mother hawanaga utoto utoto wakipendana na mwanaumewanawake ambao hawajazaa ni wengi Sana sasa ukioa single mother je inakuaje kwa hawa ambao wamejitunza
Kumbe upo kibanda umiza ππIta vyovyote uwezavyo...
Ila ni Barcelona pekee waliogeuza matokeo kutoka 5 :0 wakashinda 5:6 ila simba wasingeweza...π₯π₯..nadhani umenielewa....π π π
Kila mtu anaona mwanamke anayeona anamfaa. Kama single mother anafaa, ataolewa...kama hafai, hatoolewa. Tuache kuingilia preference za watu. Na acheni kuwapigia kampeni.Sijakataa kuwa hawaolewi bali nimesema wanaume wanawaogopa sana hao single mother.