Huyo bi khadija alikuwa mjane au aliyeterekezwa/mtarakiwa ?

Maana vijana wanaogopa singlemother walio tengana na wazazi wenzao na hao wazazi wenzao bado wapo hai na sio single mother ambao ni wajane.
Jamaa katuletea mfamo wa Mtume lakin kachanganya single mother na wajane... nazan wake wa Mtume walikua Wajane na sio single mother ya wakat huu baba wa mtoto yupo hai bado yaan utachapiw tu
 
Tatizo pesa, Tatizo pesa , Tatizo pesa
 
Kwanini wajibebeshe mabaki na matatizo ya wengine wakati wako wasichana wengi wanaohitaji kuolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…