millerson
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 606
- 1,651
NIPO USUKUMANI HUKUHao jamaa huwa hawaulizagi eti sijui nani kabikiri 😂
hao jamaa kuna jinsi walivyo hapa nacheka tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NIPO USUKUMANI HUKUHao jamaa huwa hawaulizagi eti sijui nani kabikiri 😂
Ndio maana idadi yao ni kubwa, wamezalisha karibu kila nchi dunianiNIPO USUKUMANI HUKU
hao jamaa kuna jinsi walivyo hapa nacheka tu
Hajawa single kwa bahati mbayaUnamaanisha nini?
Sawa mkuuhajawa single kwa bahati mbaya
Jamaa katuletea mfamo wa Mtume lakin kachanganya single mother na wajane... nazan wake wa Mtume walikua Wajane na sio single mother ya wakat huu baba wa mtoto yupo hai bado yaan utachapiw tuHuyo bi khadija alikuwa mjane au aliyeterekezwa/mtarakiwa ?
Maana vijana wanaogopa singlemother walio tengana na wazazi wenzao na hao wazazi wenzao bado wapo hai na sio single mother ambao ni wajane.
Unataka kusema kwamba ukioa mdada ambaye hajazaa hurachapiwa?single mother ya wakat huu baba wa mtoto yupo hai bado yaan utachapiw tu
Tatizo pesa, Tatizo pesa , Tatizo pesaKiukweli hakuna ubaya kumchumbia single mother na kumuoa huyo mama asiye na mwenzi. Hata kama amezaa, mtoto aliyemzaa na mwanaume mwingine ni baraka kabisa.
Cha muhimu ni kwamba nyote wawili mnapendana na mmejitolea kufanya uhusiano wenu ufanye kazi. Hivyo ukimpata single mother na mkapendana nyote muoe tafadhari hata kama ana watoto watatu oa tu.
Mtume Muhammad ni mfano wa kuigwa hakumuogopa bi Khadija. Jifunzeni kwa huyu mtumishi.
Enyi wanaume waoga acheni ushamba.
Kwanini wajibebeshe mabaki na matatizo ya wengine wakati wako wasichana wengi wanaohitaji kuolewa?Kiukweli hakuna ubaya kumchumbia single mother na kumuoa huyo mama asiye na mwenzi. Hata kama amezaa, mtoto aliyemzaa na mwanaume mwingine ni baraka kabisa.
Cha muhimu ni kwamba nyote wawili mnapendana na mmejitolea kufanya uhusiano wenu ufanye kazi. Hivyo ukimpata single mother na mkapendana nyote muoe tafadhari hata kama ana watoto watatu oa tu.
Mtume Muhammad ni mfano wa kuigwa hakumuogopa bi Khadija. Jifunzeni kwa huyu mtumishi.
Enyi wanaume waoga acheni ushamba.
Pesa ni tatizo kivipi?Tatizo pesa, Tatizo pesa , Tatizo pesa
Hao unaowaita 'wasichana' ni vivuruge wakubwa wa akili ya wanaume, Ila single mother ni watunzaji wazuri wa akili ya mwanaumewasichana wengi wanaohitaji kuolewa?
Acha uongo mkuuEpuka single mother hasa mwenye mtoto wa kiume kataa ndoa nae kbsa, utakuja nishukuru.
Kwa nini umuongezee watoto ikiwa hutaki kumuoa?Kama umempenda single maza unamuongezea tu idadi ya watoto lakini sio kuoa
Vyovyote vile utakavyoHuko ni kutokujiamini kabisa so una haki ya kuitwa muoga
Uoe matatizoKwa nini umuongezee watoto ikiwa hutaki kumuoa?
Na kwanini unamkaza wakati huna mpango wa kumuoa?Uoe matatizo