Kumbe Yusufu alikula mlaji wa mzigo wa bikra maria baada ya Yesu kuzaliwa πππ haya mambo yameanzia mbali sana.Achana na mtume tu ata mama yesu aliolewa na yosefu kana single mother, ila sio hawa wa sasa
Si ndio maana ndoa zinavunjika Sana , takwimu zinaonesha Kwa mwezi Dar zinavunjika ndoa 300. Maana yake Kwa mwaka zinavunjika ndoa 3600. Kumbuka hii ni Dar Tu na hizi ni talaka zinazoripotiwa pale Rita.Mbona harusi nyingi mjini Ni masingle mother?utaona Kuna kaboy au kagirl kanavibe ukumbini utasikia mtoto wa Bibi harusi
Tatizo hapo Sasa bwana harusi alizaa sehemu kaacha single mother,halafu akaenda kuoa single mother aliyeachwa na mwenzie π€π€π€hapo Sasa Ni kizungu mkutiSi ndio maana ndoa zinavunjika Sana , takwimu zinaonesha Kwa mwezi Dar zinavunjika ndoa 300. Maana yake Kwa mwaka zinavunjika ndoa 3600. Kumbuka hii ni Dar Tu na hizi ni talaka zinazoripotiwa pale Rita.
Hatujazungumzia ndoa za watu kuachana Juu Kwa juu.
Ingia hapa ujisomee Ndoa 300 zavunjika Dar kwa mwezi
Kwahiyo watu WAnaweza kuwa wanaoana Ila wanaishia njian kuachana.
Si unajua wale mabinti wa kitajiri walivyo, bi khadija bila shaka alikuwa pisi kali ya kishua.Huyo Bi. Khadija inaonesha alikuwa mrembo sana kama Zari π€£ af lazma mtume alichepuka nae kipindi anazinguana na mume wake wa pili.
Ndio maana nikasema single Maza aolewe baada ya mwanaume kujiridhisha Kwa kuona kaburi la huyo X wake aliezaa nae kinyume na hapo mnaenda kuishi maisha ya hovyo.Tatizo hapo Sasa bwana harusi alizaa sehemu kaacha single mother,halafu akaenda kuoa single mother aliyeachwa na mwenzie [emoji847][emoji847][emoji847]hapo Sasa Ni kizungu mkuti
Sasa Pisi kali ya kishua mi naachaje kuiungia jamani, si ntakuwa chizi mie πππ naoa fasta mno!Si unajua wale mabinti wa kitajiri walivyo, bi khadija bila shaka alikuwa pisi kali ya kishua.
Tatizo hapo sio mwanamke,tatizo ndoa za siku hizi wanandoa wote Ni single parent,Kama unahisi bi harusi anaenda kupasha kwa mzazi mwenzie lakini usipuuzie pia bwana harusi nae ana masingle mother wake zaidi ya mmoja anaopasha nao ..kwa Nini lawama ziende upande mmoja?Ndio maana nikasema single Maza aolewe baada ya mwanaume kujiridhisha Kwa kuona kaburi la huyo X wake aliezaa nae kinyume na hapo mnaenda kuishi maisha ya hovyo.
Na Kwa wanawake waliojaa duniani hapa Kwanini ukaoe MTU aliezaa
I come to realize that Kuna mdada nilimkosea kiasi sikustahili msamaha...Binafsi naona scenario mbili hapa.
1. Waislam wao nadhani sio issue sana kuoa single mother. Wao naona wakioana sana, shida ipo kwa Wakristo.
2. Single mom wa watoto wa kiume wanaweza kukupa shida sana, watoto wa kiume wakiona mama yao anadate na mtu asiye baba yao wanaweza kuleta tafrani ndani ya nyumba balaa.
Hata hivyo iwe choice ya mtu, some ladies are decent sana japo kweli ni single moms.
TrueI come to realize that Kuna mdada nilimkosea kiasi sikustahili msamaha...
Ilikua zamaan sanaa..
Alini block every where nili mtafuta Ili tu nimwombe msamaha only that Ili Kila mtu aendelee na maisha yake.....
am 4 real nilienda ofsn kwake alipo niona tukatizamana macho akajaa hasira nika mweleza nimekuja kumwomba msamaha....
Nilicho jua nisinge samehewa
Akakataa msamaha na KUENDELEA kua na makasiriko kias Cha kuto taka kuniona....
Nakumbuka tulipo endelea kutazamana aka Anza kulegea tuka kumbatiana kilicho fuata......
Akanambia yaan nikiyaona MACHO na LIPS zako huwaga siwez kukutatalia kitu...
Ni mtu ambae Hukuwai ni omba hata shilling mia na siku zote alikuaga ananambia mm NDIO dream man wake....
So kweny ma Ex don't Bet for real ππ€ watu wana watu wao....
Ndipo utagundua kwanini aliachwa akawa single mazaSio kwamba single mothers hawafai kuolewa,ila maisha yenu hayataisha migogoro.Mwanzoni unaweza usielewe lakini kadri miaka inavyozidi kwenda utagundua mambo mengi sana ya hovyo hovyo...
Mbali na upisi kali alikuwa dosi unazania ata ningekuwa mm ningekataa kupandishwa cheo kutoka kijakazi had mme wa bossSi unajua wale mabinti wa kitajiri walivyo, bi khadija bila shaka alikuwa pisi kali ya kishua.
Demu huyu sio mwanaume.Naanza kuhesabu wanaume waoga
1. Dr Haya land [emoji3]
Kwa hiyo mlipasha kipolo?I come to realize that Kuna mdada nilimkosea kiasi sikustahili msamaha...
Ilikua zamaan sanaa..
Alini block every where nili mtafuta Ili tu nimwombe msamaha only that Ili Kila mtu aendelee na maisha yake.....
am 4 real nilienda ofsn kwake alipo niona tukatizamana macho akajaa hasira nika mweleza nimekuja kumwomba msamaha....
Nilicho jua nisinge samehewa
Akakataa msamaha na KUENDELEA kua na makasiriko kias Cha kuto taka kuniona....
Nakumbuka tulipo endelea kutazamana aka Anza kulegea tuka kumbatiana kilicho fuata......
Akanambia yaan nikiyaona MACHO na LIPS zako huwaga siwez kukutatalia kitu...
Ni mtu ambae Hukuwai ni omba hata shilling mia na siku zote alikuaga ananambia mm NDIO dream man wake....
So kweny ma Ex don't Bet for real ππ€ watu wana watu wao....
Wabongo bhana ππMbali na upisi kali alikuwa dosi unazania ata ningekuwa mm ningekataa kupandishwa cheo kutoka kijakazi had mme wa boss
Hebu nitumie picha yake nithibitisheDemu huyu sio mwanaume.
Usiulize_ black rhino π¦Kwa hiyo mlipasha kipolo?
Kim Jong JrNdio maana nikasema single Maza aolewe baada ya mwanaume kujiridhisha Kwa kuona kaburi la huyo X wake aliezaa nae kinyume na hapo mnaenda kuishi maisha ya hovyo.
Na Kwa wanawake waliojaa duniani hapa Kwanini ukaoe MTU aliezaa