Kikubwa angalia wameachanaje, vinginevyo utaishia kulia tu hapa.
 
Walio zaa hawaachanagi labda kama alimbaka [emoji23][emoji23][emoji23]

Wanawake ni Watu wa faida,
Mwanamke anakuacha hata ungemzalisha Watoto 10,

Elewa kuwa Mwanamke anaweza kuwa na wewe Kwa sababu mazingira yamemlazimisha hivyo, lakini wewe usiwe mwanaume wa ndoto zake.

Mwanamke uliyemzalisha ukamtelekeza, akipata mwanaume handsome boy kukushinda na mwenye kipato kukushinda amini usiamini atakuona wewe ulikuwa mkosi Mkubwa katika Maisha yake.

Sio kwamba atakuacha wewe tuu Bali hata Watoto wako uliomzalisha anaweza kukupora kabisa Haki na ubin wako
 
Sasa kwanini uoe mwanamke anaekufanya uwe na mashindano na mwanaume mwingine?

Mm naona ni heri uoe single mother ikiwa kaburi la aliyemzalisha umeliona otherwise ni mateso na mfadhaiko wa moyo tu unatafuta...

Povu ruksa!

Watu wako tofauti Mkuu.
Wako waliozaliwa Kula Fresh meat, wapo waliozaliwa Kula Viporo au used
Ndio Maisha hayo
 
Ukiona singo maza hakikisha mume wake amekufa na kabuli umeliona
NB:usisahau death certificate ya mumewe

Single mother ni single mother tuu.

Hata kama aliyemzalisha amekufa, elewa kuna legacy yake Kwa huyo single mother lazima uizidi Kwa mbali Mno. Vinginevyo hataisha kukunyanyasa Dunia ingalipo.
Kila siku kumkumbuka aliyemzalisha,
Kujihusisha na familia ya aliyemzalisha.
Hivyo yaani
 
You have a point there [emoji419]
 
Mkuu, as long as aliyemzalisha bado atakuwa yupo hai. hata umzidi vitu vyote vya hii dunia bado akitaka kukugongea, atagonga safi tu.

Mwanaume, kwamwe hutakiwi kuoa Mke wa mtu.
Ohoo. Hujui wewe. Yaani wewe ni kapuku huna mbele wala nyuma mwanamke alale na wewe kisa tu alishazaa na wewe? Thubutu! Tena atakuchukua mpaka utajichukia mwenyewe. Atabadilika kabisa kabisa na anaweza kukuitia polisi ukimkaribia. Hata watoto akiwa na uwezo wa kuwafanya waamini baba yao siyo wewe atafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…