Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Wanaume,
Hii tabia ya "EXCEPT ME", imewapoteza Vijana wengi sana. Waliamini kisa wana Mali/mionekano kuzidi Baba watoto aliyezalisha, basi wanaweza kuwatuliza Single Mothers. ila cha Moto walikiona, wanakiona, na wengine wanaobisha hapa watakiona.
Women are loyal to their Feelings. Wanawake wanajali sana hisia zao kuliko kitu chochote. Hizi Materia things kwa Wanawake ni takataka tu. Linapokuja swala la hisia zao, Mwanamke analala na mtu yeyote, sio Kapuku tu. Ni yeyote
OA single Mother, at your own Risk.
Sawa kabisa mkuu heshima kwako .....
Mkuu,shule ulienda kufanya nn maana unaonekana una double standards kuhusu definition ya single mother.Ni MTU mjinga anayeshindwa kutofautisha single mother na A widow.
Nakubaliana na wewe 100% kuwa women are loyal to their feelings! Kuna mama mmoja wa kizungu alikuwa na polisi mwenye kila kitu lakini siku moja akaamua kuuza kila kitu na kutoroka na mfungwa muuaji aliyekuwa anamzindikiza mahakamani. Huu mfano mdogo tu. Lakini my friend hii principle ina-apply under certain circumstances.Wanaume,
Hii tabia ya "EXCEPT ME", imewapoteza Vijana wengi sana. Waliamini kisa wana Mali/mionekano kuzidi Baba watoto aliyezalisha, basi wanaweza kuwatuliza Single Mothers. ila cha Moto walikiona, wanakiona, na wengine wanaobisha hapa watakiona.
Women are loyal to their Feelings. Wanawake wanajali sana hisia zao kuliko kitu chochote. Hizi Materia things kwa Wanawake ni takataka tu. Linapokuja swala la hisia zao, Mwanamke analala na mtu yeyote, sio Kapuku tu. Ni yeyote
OA single Mother, at your own Risk.
Kibongobongo watu ukisema single mother watu wengi wanachukulia mwanamke aliyezaa na kuachwa kwenye ndoa au ambaye alizalishwa bila kuolewa.Mkuu,shule ulienda kufanya nn maana unaonekana una double standards kuhusu definition ya single mother.
Mwanamke akiachwa au kufiwa Hali ya kuwa ana watoto huwa na sifa mbili
1.single mother
2.Widow .. ukimtambua kwa sifa moja TU kuwa Ni Widow na sio single mother hiyo Ni bagosha
Mkuu,shule ulienda kufanya nn maana unaonekana una double standards kuhusu definition ya single mother.
Mwanamke akiachwa au kufiwa Hali ya kuwa ana watoto huwa na sifa mbili
1.single mother
2.Widow .. ukimtambua kwa sifa moja TU kuwa Ni Widow na sio single mother hiyo Ni bagosha
Kibongobongo watu ukisema single mother watu wengi wanachukulia mwanamke aliyezaa na kuachwa kwenye ndoa au ambaye alizalishwa bila kuolewa.
Wanasema kinga zinawasha etiKwa nini wanazaa kabla ya kuolewa?
AahahahahUkiona singo maza hakikisha mume wake amekufa na kabuli umeliona
NB:usisahau death certificate ya mumewe
AahaaaWalio zaa hawaachanagi labda kama alimbaka [emoji23][emoji23][emoji23]
Point takenWanaume,
Hii tabia ya "EXCEPT ME", imewapoteza Vijana wengi sana. Waliamini kisa wana Mali/mionekano kuzidi Baba watoto aliyezalisha, basi wanaweza kuwatuliza Single Mothers. ila cha Moto walikiona, wanakiona, na wengine wanaobisha hapa watakiona.
Women are loyal to their Feelings. Wanawake wanajali sana hisia zao kuliko kitu chochote. Hizi Materia things kwa Wanawake ni takataka tu. Linapokuja swala la hisia zao, Mwanamke analala na mtu yeyote, sio Kapuku tu. Ni yeyote
OA single Mother, at your own Risk.
Ha!ha!ha![emoji817][emoji1666]
UKIONA MWANAMKE AMEKUBALI KUISHI NA WEWE UJUE HANA OPTION NYINGINE
UJINGA ni kufikiria kua hauto t*mbewa, nimemaliza
[emoji419][emoji1007][emoji375][emoji375]Hapana Mkuu.
Kama aliyemchukua kakuzidi wewe Kwa kila kitu iwe kifedha na kimwonekano nakuhakikishia hata umshawishi vipi hatoweza kukubali.
Kwanza ataona alipoteza mwelekeo, yaani atakuona kama mkosi na ulimbahatisha.
Wengine mpaka wanafikia hatua na watoto wanabadilisha majina yao, yaani wewe Watoto wako lakini hawaitwi ubin wako.
Ukiona umemshawishi mwanamke uliyezaa naye alafu ameolewa ukamlamba tena ujue huyo aliyemuoa hamtofautiani Sana. Yaani mpo level moja tuu. Au kama kakuzidi ni Kidogo Mno.
Hivyo ndivyo Wanawake wanavyofanya mishe zao.
Naomba kuunga mkono na miguu hii hoja.
Tatizo.unajua, afu unajua halafu unajua hadi sio vizuri yaani.
Hapa nina shoga angu mmoja. Alizaa na mwanaume hana hata hela na sio mzuri wakaachana kutokana na mwanaume kushindwa kuprovide matumizi kwa wakati.
Huyu bibie akapata mwanaume tajiri ana pesa ndefu. Kitu ambacho hamuwezi kuamini hadi vyeti vya mtoto aliyezaa na jamaa sasa hivi vinasomeka jina la mwanaume mpya ambaye ni tajiri. Mtoto shuleni anaitwa kwa jina la baba wa kambo. Chezea pesa wewe?
Ukitaka kugombana na huyu bi dada mkumbushe kwamba aliwahi ku date yule baba halisi wa mtoto. Anakuwa mkali balaa.
Tafuta hela zitakusaidia uzeeni mbususu haitakusaidiasahihi kabisa mkuu,ila pia umesahau hatakama una haiba,wewe ni tajiri,wewe ni handsome ila kama haumpelekei moto kisawasawa bado atapigwa miti tu
[emoji419][emoji1007][emoji375][emoji375]