Utajiri na umasikini ni state of mind, kwenda mlimani city si kuwa na pesa na kutoa laki kanisani sio kuwa na pesa bali ni priorities za maisha.

Vijana wengi mnapata depression kwa sababu mnadhani ukipata hela lazima ung'oe mwanamke mzuri uende mlimani city ku-spend NOOO!

Kuna sehemu yake ukimgusa mwanamke anaanguka mzima mzima wewe jenga nyumba nunua Vogue lakini kuna siku utajipiga bastola kwa sababu umeshindwa kumwelewa mwanamke. Ili uelewe hii lazima uwe na kitu inaitwa EMOTIONAL INTELLIGENCE

Sasahivi mnaongea sababu mndesire ya kuwa na pesa.
 
Umemaliza kila kitu mkuu, well said
 
Jichanganyeni tu na maoni na mtazamo wa mtu. Oa singo mama ambaye mume yupo ardhini. KATAA NDOA PINGA NDOA.

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Leo Tanashaa anaikalii tu hukoo mbezi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hatari Sana Mkuu.

Mwenye Pesa ndio atapelekwa ustawi wa jamii na kupigiwa simu mara Kwa mara na sio kanyampansila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…