Sio kweli mkuu. Wanaojilipua mara nyingi wapo tayari kutake risk katika ilo jambo. Na hapa sio kwenye issue za mahusiano tu, ni nyanja zote.

Japo wanasema wasi wasi ndio akili, ila sometimes wasiwasi ni kikwazo kwenye opportunity
 
Swali la kushangaza sana!
Ndio ujue nguvu ya elimu.
 
Mp
mpaka sasa single father 5 single maza 0,mechi inaendelea
 
Ni kweli. Tena Mwanamke apate Mwanaume mwenye hadhi na uchumi fulani
Wengine hata akipata mwanaume anayetuliza moyo wake ty,hata akiwa na uwezo wa kawaida,Huwa hakumbuki mwanaume wa kwanza kama alikuwa na mauzauza,kuna baadhi ya wanawake ambao wanahitaji tu furaha ya nafsi zao,hawajali utajiri wa mtu,japo Hawa ni wachache San,hujawahi kuona mwanamke ameachana na tajiri mkubwa na kuolewa na mtu ambaye ana uwezo mdogo,lkn wanaishi vizuri tu,inategemea.
 
Mi nilikuwa nae mmoja miaka flani nyuma alizinguana na jamaa yake baada ya jamaa kutelekeza swala la kumuoa baada ya kutoa barua ya uchumba. Si ndo akaangukia kwng akanielekeza kila ktu kuhusu jmaa, baada ya mahusiano kumnogea yy sio mm akadai nikajitambulishe kwao binafsi sikukaataa wala kukubali, niliendlea kujilia tu sababu ilikuwa haisumbui mpka nilipotosheka nikamuambia tu unaweza kuendlea na hamsini zako sasa, mana swala la kuona mm na ww halipo. Sijamaliza hta miezi 6 nakutana na vjembe tu ulifikir sitaolewa, kumbe mzazi mwenzie aliamua kuoa kabisa ajabu ya wanawake baada ya yote haya bdo alinitafuta ili tuendeleze tulipoishia lkn binafsi sikurudi tena nyuma. Kifupi single mother kw aliye msingolisha huwa beki hazikabi
 
Mkuu nakubali sana post zako..najfunza mengi mno Kupitia wew....naomb unambie unapendlea kusoma vitabu vya Aina gani Kama hutojari

Nilikuwa Msomi wa vitabu nilivyokuwa primary na SEKONDARI, vitabu vya Dini, bed time story, Riwaya, Biblia, Quran zenye tafsiri ya Kiswahili.
 

Naamini kabisa katika safari uloianza ulikotoka ni karibu kuliko unakokwenda fanya maamuzi mapema ya kuachana na huyo kiumbe na mbaya zaidi ana mtoto wa huyo jamaa kaamua kwenda msibani
Za kuambiwa …………
 
Simba kula binadamu ni jambo la kawaida ila binadamu kumla simba sio kitu Cha kawaida, inaweza kua story kubwa mnoooo
 
Yaani umeandika ukweli mtupu mm nina mahusiano na single maza kabla ya kuanzisha nae mahusiano nilimuuliza kuhusu yeye kuwasiliana na baba wa mtoto akanijibu kua hana mawasiliano nae kabisa na hahitaji kabisa kuwasiliana nae na hta ikitokea baba wa mtoto akakatisha mbele yake ataamuua nikacheka moyoni tu nikaona huyu bado anampenda na anaumia kuachwa na baba mtt wake sasa baadae nikaona nimfuatilie 'nijue ukweli ni upi nmeona kua yeye ndio hua anamtafuta baba wa mtoto kua kwnn huji kumuona mtoto au unataka mtoto akusahu kabisa baba mtoto anajibu nitakuja tu sku yoyote basi mwanamke anaanza kutukana ww mwanaume ni mbwa tu. Mm nafatilia mawasiliano yao tu nmekaa kimyaaaa akipata mimba yangu nalea akishajifungua tu na mm namuacha halafu namuonyesha mawasiliano yake na baba mtoto kua hii ndio sababu ya kukuacha sikuamini tena

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Aisee huyu km ana mimba subiri ajifungue mtoto akishafikisha mwaka mmoja achana nae akiuliza kwann mwambie siwez kuoa mke wa mtu utaolewa kule ulikoenda kumzika baba mkwe wako

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…