Kwan wewe kama mwanamke huwezi kuwa na adabu na mwili wako na kuchunga mwenendo wako?!

Huwezi kuwa mkali kwa huyo anayekusumbua na alishashindwana na wewe?! Mtajie kiasi cha pesa mfano laki tatu tu ya kila mwezi akutumie ili ikusaidie kwenye malezi ya mtoto. Kusiwe na story wala mambo mengi sana.

Ni mwisho wa mwezi muamala halafu kimya hakuna kulegezeana macho wala kuleta hisia. Kwann mnaendekeza michezo wakati MUNGU amewapa second chance ya kimahusiano?

Unajua upuuzi wenu single mothers ni kutojiuliza swali moja kuwa huko mtaani kuna mabinti wangapi ambao hawana watoto na ni wabichi ambao mwanaume anaweza wachukua aishi nae na kupanga maisha?!

Kwanza mwanaume kujihusisha na single mother jua amekupa heshima kubwa. Ni sawa na mzazi kutoa uji wa mtoto kumpa mgeni. Hawa mabinti waliopo mtaani wanaotafuta wanaume kwaajiri ya ndoa wanastahili First priority kuliko ninyi but wanaume wanajitoa wanawakana hawa wanakuchukueni ninyi ambao mlishaharibu fursa za kuwa na mahusiano bora mnaanza tena kuleta ujuaji na us*ng* kwenye mahusiano ambayo mnatakiwa kuwa wanyenyekevu na partners wazuri wanaojishimu.

Kiukweli wanaume kabla hamjawazia hawa single mothers hebu muwafikirie hawa mabinti ambao hawana watoto na wapo huko mtaani wanasubiri kuchukuliwa kuanza life mpya ya mahusiano. Hawa naona wanaviburi sana na hawarekebiki wala kujifunza.
 
Mjane
 
Ni rahisi KWA mtoto wa single mama kurithi usingle kuliko mtoto wa single baba, mmoja hapo anarithishwa sumu
Watoto wa kike wa masingle mother huwa wanaishia kuwa masingle mother kwa asilimia kubwa. Na hata wakiolewa basi hawatataka kuolewa na mwanaume Strong atataka mwanaume dhaifu, Beta male, Simpleton, submissive, YES honey type of a man.

Na watoto wa kiume wa masingle mother wakishakua wanajionea shida kuwa ni mama zao huwa wanaishia kuchukia wanawake na wao wanaendeleza ile culture ya kuzalisha na kuwakwepa wanawake wataokutana nao sababu kwanza hawajawahi kuwa karibu na baba zao so hawajui namna ya kuwa baba wala mume bora, pili hawataki kudeal na mwanamke the way wamedeal na mama zao sababu wanajua ni mzigo kwao mwanamke ni kwaajiri ya starehe na kumuomba mahitaji kama pesa etc, tatu, mwanamke hawezi jenga mtoto wa kiume kuwa mwanaume so hawa vijana ambao ni watoto wa masingle mother huwa hawaoni umuhimu wa kuwa wanaume sababu hawana misingi yake hivyo basi kuna uwezekano mkubwa wakawa homosexuals au bisexuals.
 
Watoto wa single parent sio mme au mke bora wanakuwa wamekosa balance ya malezi pili hawana Upendo, tatu hawawezi jua maana ya ndoa sababu hawajaishi kwenye misingi ya ndoa. Hata wakiolewa ni lazima wataishia kama wazazi wao
 
Tatizo udhaifu mkuu,,,most of them wanashindwa kukataa wanadhani watasusiwa watoto
 
Imagine umechukua single mother unaishi nae halafu ndio unarudi home kimya kimya unamkuta anawapa makavu upande wa baba mtoto wake hivyo ili kukulindia heshima yako kama mwanaume ambaye kajitoa kuishi na changamoto zake.

Hapo lazima nguvu za kiume ziongezeke. Kwanza muda huo huo namuendea nikifika nachukua simu ile namwambia anaeongea nae "Sorry atakupigia kuna kazi ananisaidia hapa mara moja", halafu nakamatia huyo mwanamke kwenye kiuno juu ya hips kama vile nimekamatia kiroba namnyanyua na kumtuliza kifuani kwangu nambeba juu juu huku namnyonya ulimi tukienda chumbani.

Aisee ntamt*mba huyo mwanamke siku hiyo as if ndio namt*mba kwa mara ya kwanza. Namt*mba hadi tukishamaliza akose maneno ya kuongea abakie kunitazama tu huku anarembua.
 
Sasa mtu kafiwa anakuwaje single?! Huyo ni technically widowed yaani ni mjane kwa maana jamaa yake akifufuka ndoa itaendelea.

Ila single mother ni yule ameamua kuzaa na mtu ambaye hana matarajio ya kuwa na maisha ya familia pamoja nae.
 
Hii mada ina ukweli 98% nilishadate na masingle mother 3 wote tabia zao ni Moja! Hamuachi aliyemzalisha, na pia anamfikiria nwanae / wanae kuliko chochote kipaumbele kikubwa ni mtoto wake! Yupi radhi hata akufilisi lakini nwanae apate anachokitaka!
Na hapa ndipo wanapoharibu. Nakumbuka kuna single mother tulikuwa tunapelekeana moto. Sasa unajua hawa viumbe shida yao moja, akisharuka na wewe anaanza kutengeneza mazingira uwe baba mlezi.

Kuna siku tukawa na mazungumzo mazito sana juu ya hatima yetu. Akawa anataka kujua nachukuliaje swala la yeye na watoto,akiwa na maana ya kunitega kujua nitarespond vipi juu ya swala la mimi kuanza kuwajibika na malezi ya watoto wake yaani jukumu la kuwa baba mlezi.

Me nikamchana wala sikumuweka kiporo. Nikamuuliza kuwa mfano huyu mtoto wako wa kiume umemsomesha kwa bidii akafanikiwa kufika mbali kielimu na kupata kazi nzuri sana ya kumlipa pesa. Then anamua kuanza maisha yake kama mwanaume. Siku anakujia na mwanamke ana watoto wawili au watatu halafu anakwambia, "mama huyu ni mwanamke nataka kuoa na hawa watoto nataka niwaasili wawe wanangu na nitawaandika katika mali zangu kama warithi halali" nikamuuliza vipi hapo utakubali.

Yule dada alijisahau akaruka kwa hamaki kuwa weeeee, labda nisiwe mama yake mzazi niliyemlea na kumfikisha hapo alipo akanionyeshe mama yake mzazi.

Kimoyomoyo nikasema "ona jinga hili" wewe hautaki yakukute haya unayotaka yamkute mama yangu mimi. Kwahiyo mimi unavyotaka kuleta mazoea ndio niende kukutambulisha kwa bi mkubwa na watoto wako naanzaje kwa mfano eti?!
 
Huwezi mtenga Mwanamke na mtoto wake. Ipo hivyo Kwa 99%
Ni ngumu sana na kitendo cha mwanamke kumuwaza mtoto wake tayari baba wa mtoto anamjia kichwani. Aisee kuna hasara kubwa sana kwa kijana ambaye hajawahi kuwa na mwanamke kwenye mahusiano na kupata nae mtoto au watoto kudate na single mother.
 
I know right. Nilifurahia sana kwa makavu aliyotupa. Ila braza umegoo deeper...🤗
 
Enhee ikawaje sasa mwishoni na uyo single mama

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kwa mujibu wa definition yako hapo na wewe hautakuwa sahihi sababu hiyo definition imedadavua juu juu na kurelate neno single mother na ujane bila kutrace historical background ya origin ya hilo jina.

History ya neno single mother inaanzia marekani na ndipo jina hili lilipokuwa coined kwenye jamii ya wamarekani weusi ambao walizalisha utamaduni wa wanawake kuzaa na wanaume kama means ya kipato.

Yaani mwanamke anazaa hata na wanaume sita halafu wale wanaume wanamletea matunzo na yeye anatumia hayo matunzo kupata mahitaji yake inakuwa kama source of income.

Plus hawa wanawake walikuwa wanafanya hivi ili kucollect welfare money ambazo serikali ilianzisha special program ya kusaidia kaya za hawa wanawake waliokuja kupewa jina la utani "single mothers" baada ya wale social workers kubaini trend ya wanawake hawa kuzaa na kupata privileges sawa na zile za wanawake wajane au ambao wanaume zao wamefungwa jela.

Hawa single mother walipewa jina hili sababu ni wanawake ambao hata katika karatasi zile za welfare walipoulizwa status ya marital walisema wapo single yet wanawatoto na wanaume tofauti.

So social workers wakaona wasiwaweke kundi moja na wajane sababu wajane ndio walikuwa walengwa wa programs hizi za kijamii kuwasaidia matunzo yao na watoto kutoka serikalini. Ila hicho kizazi cha wanawake waliozaa tu hovyo ili wapate social benefits kutoka serikalini in form of Child support, food stamps, academic sponsorships, etc tena walitarget wanaume ambao anajua mwisho wa siku huyu hawezi kuwa baba wala kuwa na familia na mimi ili apate mazingira ya kuclaim benefits.

Widow (mjane) ni mwanamke ambaye amefiwa na mume wake wa Ndoa.

Single parent in this case, ni mwanamke ambaye alikuwa na mwenza wake kindoa kabisa ila wakatalikiana na kubakia kuwa wazazi kwa watoto. So tunasema ni single parent sababu hayupo kimahusiano na mwenzake tena ila wapo kimalezi kwaajiri ya watoto.

Single mother (wadangaji) hawa ndio kundi la wanawake ambao wanazaa ila hawakuwahi kuwa na mahusiano yale serious ya kutambulishwa, kulipiwa mahari au hadi kuolewa. Hawa ni wale wanapata mimba zisizo na utaratibu wala kufuata ustaarabu wa kuwa na malengo.
 
Kwann mnakuwa na maamuzi ya kibinafsi. Wewe huyo mtoto wako unayemleta kwann unataka apitie mama wa hovyo kama huyo, why usitafute binti mzuri tu anayejiheshimu mbona wapo wengi tatizo vijana hamtembei mkaona maajabu na uumbaji wa mwenyezi.

Kuna mabinti wapo huko wanatanga tanga maisha yamewazingua wewe unahangaika na mizigo ya watu. Piga chini katafute mwanamke wako uanzishe uzao wako safi sio unakutana na mwanamke ana watoto baba tofauti na wewe unaenda kuweka wa kwako hapo hapo.

Mtoto wako atakuja kukulaumu sana baadae kuwa wewe kama baba ulifeli wapi kumchagulia mama mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…