Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Kwan wewe kama mwanamke huwezi kuwa na adabu na mwili wako na kuchunga mwenendo wako?!Single maza tunawalaumu bureee,,,hivi ikiwa wewe uliyemzalisha bado unamfuatafuata na kumtamani unadhani atakataa? Wengi hufanya hivyo ili Watoto/Mototo azidi kupata mapenzi ya Baba,,,Me naamini ikiwa wewe uliyemsababishia huo usingle maza ukawa mbali naye na ukaweka mipaka siyo (minyau)baina yake na wewe sidhani kama kuna kitu kinaweza Haribika,,,ila wengi wa waluowazalisha wanakuaga na tamaa,,,kumbukeni kuna wanaume baadhi ni mara umbwa yaani tunawaita zoazoa.......
Huwezi kuwa mkali kwa huyo anayekusumbua na alishashindwana na wewe?! Mtajie kiasi cha pesa mfano laki tatu tu ya kila mwezi akutumie ili ikusaidie kwenye malezi ya mtoto. Kusiwe na story wala mambo mengi sana.
Ni mwisho wa mwezi muamala halafu kimya hakuna kulegezeana macho wala kuleta hisia. Kwann mnaendekeza michezo wakati MUNGU amewapa second chance ya kimahusiano?
Unajua upuuzi wenu single mothers ni kutojiuliza swali moja kuwa huko mtaani kuna mabinti wangapi ambao hawana watoto na ni wabichi ambao mwanaume anaweza wachukua aishi nae na kupanga maisha?!
Kwanza mwanaume kujihusisha na single mother jua amekupa heshima kubwa. Ni sawa na mzazi kutoa uji wa mtoto kumpa mgeni. Hawa mabinti waliopo mtaani wanaotafuta wanaume kwaajiri ya ndoa wanastahili First priority kuliko ninyi but wanaume wanajitoa wanawakana hawa wanakuchukueni ninyi ambao mlishaharibu fursa za kuwa na mahusiano bora mnaanza tena kuleta ujuaji na us*ng* kwenye mahusiano ambayo mnatakiwa kuwa wanyenyekevu na partners wazuri wanaojishimu.
Kiukweli wanaume kabla hamjawazia hawa single mothers hebu muwafikirie hawa mabinti ambao hawana watoto na wapo huko mtaani wanasubiri kuchukuliwa kuanza life mpya ya mahusiano. Hawa naona wanaviburi sana na hawarekebiki wala kujifunza.