Umejibu bila hoja na kama unaweza kamwambie mzazi wako jibu hili kuwa eti makubaliano. Atakudharau mpaka anakufa.
 
Halidefend single mothers wewe ndio unalengo la kuwaharibia single mothers. Ujinga huu nauishe sasa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] eti nitahudumia ninapotaka, ndugu unajua majukumu ya mwanaume kweli[emoji23][emoji23][emoji23]. Kizazi kimeisha hichi!
 
Eti mtego!!! Hivi wanaume wa kizazi hiki akili mmepeleka wapi?
Mafurushi makubwa.
Hapa sitakupinga, unaweza kutukana aisee. Yaani anakimbia majukumu aliyoyataka mwenyewe na asili yake. Sasa sijui abadilishiwe majukumu ya jinsia yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] eti nitahudumia ninapotaka, ndugu unajua majukumu ya mwanaume kweli[emoji23][emoji23][emoji23]. Kizazi kimeisha hichi!
Kimeisha kama mat*ko ya mama ako.
 
Umejibu bila hoja na kama unaweza kamwambie mzazi wako jibu hili kuwa eti makubaliano. Atakudharau mpaka anakufa.
Huwezi kuelewa kwa akili za kike kike ulizonazo. Siku ukija kuwa mwanaume ukaacha kugawa kinyeo chako utanielewa. This is a solid food for a matured mind.
 
Kimeisha kama mat*ko ya mama ako.
😂😂😂😂 unakimbilia matusi kweli, umeshindwa hoja. Sasa mama yangu kakukosea nini😂😂😂. Yaani mwanaume unataka damu yako ulelewe na mtu mwingine. Nenda ukue kwanza dogo.
 
Huwezi kuelewa kwa akili za kike kike ulizonazo. Siku ukija kuwa mwanaume ukaacha kugawa kinyeo chako utanielewa. This is a solid food for a matured mind.
Nabado ukaendelea kutukana😂😂😂😂 halafu unaita akili za kiume ni kukimbia majukumu, dah! Tumeisha. Pia chief unajua kimjazacho mtu ndio kimtokacho, yaani yanakutoka mambo ya ushoga na ngono kinyume na maumbile, kwatafsiri ya haraka bila deep analysis, unawaza sana hayo mambo kuliko vitu vingine vyovyote😂😂😂. Kwanini unawaza ushoga dogo, aisee. Tumeisha.
 
Malezi kupitia dawati la jinsia huwa ni gharama ndogo sana, naonaga upuuzi tu demu akiegemea upande huo…. 50k kwa mwezi ni nini?
 
".......usijali La Aziz mtoto akipatikana nitamlea Mimi na familia yangu...."
Ukiingia KINGI umekwisha......
RIP....
 
Hivi mile zimesogea ndo nini
Gari linapimwa uchakavu kwa kuangalia umbali (kwa miles) iliyotembea. Gari lililotembea mile nyingi, ina nafasi kubwa ya kuwa chakavu na lisilopendeza sana. Gari hilo pia lina uwezekano limeshafanyiwa marekebisho mengi. Gari hilo pia, uwezo wake wa engine umeshuka na haina nguvu tena..

Vijana wanaposema mile imesogea kwa muktadha wa wanawake ni kwamba, mwanamke husika ameshapitiwa sana na idadi kubwa ya wanaume. Ameshachakaa na papuchi yake inatepeta.

Je, mile zako zimetembea? 🤣😋🤣
 
Inategemea mtoto wa kwanza alimpata VP kama ashapigwa tukio huo ujinga huwez ukuta
 
Punguza nyege bro. Kama wewe huhudumi familia ni wewe ila kuwatetea hao dada zako wadaganji hakukusaidii lolote. KMLY
 
Unazaaje na mtu na huna mpango wa kumuoa yaan mnaona sawa kabisa eti ooh mtego...yaan mwanaume uzae na mwanamke afu mtoto alee mwanamke peke ake.
Shida hamja elewa. Sijui ni hadi mpigwe na ub*o mashavuni ndio muelewe.

Lakini jua tu kuwa, hojq hapa sio kukataa kulea ila tunaikataa hiyo mbinu yao ambayo wengi wameingia kwenye matatizo kwani walipewa mizigo bila wao kuwa tayari. Mimi siamini kama suala la kuzaa anayepaswa kuamua ni wakati gani ni sahihi kushika mimba ni mwanamke pekee yake. Mtu unamwambia mtumie kinga anasema ana allergy nazo, haya ukamwambia basi wewe utumie njia za uzazi amakataa baadae anaanza kutumia nusu shingo baadae mwanaume unaambiwa umepiga mimba mtu. Na hapo mtu unamwambia kuwa mbona mimi sipo vizuri kwa sasa usishike mimba ila yeye anashika mimba kisa tu yeye anataka. Ila kwa sababu mnakaza fuvu kuelewa endeleeni kukaza, ila hoja hapo sio kutelekeza.
 
Maisha mafupi, acha zitembee tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…