Neuro
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 1,551
- 1,721
Umejibu bila hoja na kama unaweza kamwambie mzazi wako jibu hili kuwa eti makubaliano. Atakudharau mpaka anakufa.Mkuu, naomba niweke wazi. Kwa namna yoyote siwezi acha kulea mwanangu lakini je huyu mtoto tumempata kwa makubaliano yapi. Na ndio maana nausema ni mtego kwa sababu kwa namna yoyote utaongezewa jukumu la kukea mtoto ili hali wewe hukua tayari. Sijui umenipata ndugu yangu?? Ila nimeweka wazi, wadada wasitumie hiyo gear, ni vyema kupata consent ya mtu na pia kutoahidi kutowapa wazazi wabkiume majukumu mazito. Majukumu atafanya akijisikia kwani mdada ndio alitaka mtoto.
Lakini swali lakichokozivtu, hivi sperm donors huko ughaibuni huombwa pesa yq matumizi yq hao watoto wanaopatikana kwa mbegu mbegu zao???