Ina shida mkuu ata kwa future ya mtoto badae,ata nakaya Ana mabaya yake jamaa kaamua kuchill kimya tu, kwenye swala la usingle mother mwanaume anashambuliwa sana wakati 50/50 ya malezi ni baba na mama .
Malezi yangekuwa ni 50/50 mzazi wa kiume asingekua anatakiwa kulipa hela ya matunzo ya mtoto monthly pale wakiwa hawaish pamoja bila kujali mama anatoa sh ngp?!
Mwanaume kabla ya kuzaa inabid uwe ushajiandaa na jukumu la uzazi,mama kaz yake mimba akishazaa inabak zamu yako mazaz wa kiume?!
 
Kweli mkuu
 

Hao namba 1 ni wajane
 
Tatizo mademu wakiwa kwenye ubora wao huwa wanawafagilia sana masharobaro
 
Umeongea ukweli namba 1, na mbili ATA Mimi nawapa sana respect
 
Kipindi kizuri Sanaa. Na dhumini lake nizuri kwa hao wanaopitia changamoto .
#Wanahitajikujengwa kiakilii,katika mtazamo chanya.
 
babu tukomae tu hadi zama iishe, zama hizi ni kitabu chao, ukiwagusa utasikia sisi ndo tunaongoza nchi!!
 
Aliekwambia singo maza ambae baba wa mtoro yupo hai jimbo lipo wazi ni nani?

Hao ukiwaoa jua kabisa mko wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…