Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Nadhani kuna aina nne za single mothers:

(1) Waliokuwa wameolewa lakini waume zao wakafariki

(2) Waliopewa mimba na wanaume waliokuwa wakitaka kuwaoa lakini mazingira yakabadilika wanaume hao wakahama au wakahamaishiwa sehemu nyingine na mawasailiano baina yao kukatika kabla hawajaona,

(3)Waliorubuniwa au kudanganywa kuwa wanaolewa na kupewa mimba kabla ya ndoa kisha kuachwa njiani,

(4) Waliozaa bila kujua wamezalishwa na nani au walizaa na mtu ambaye hakuwa mme wao na hakuwa commited bali ilikuwa one time chap-chap.

Nawaheshimu sana wale wa aina ya kwanza na aina ya pili lakini hawa wengine nawapa heshima ya hivyo hivyo tu
Nakuunga mkono hapo namba 1 na 2
 
Wacha tu kirushwe,maana wanamme wa siku hizi hata vocha mnalilia kununua Kwa Nini msiitwe marioo 😥
 
Nakaaya Sumari yuko wapi siku hizi? Nilipenda wimbo wake ule wa Mr Politician lakini baada ya hapo akazimika ingawa tuliambiwa alisaini na Sony lakini hakuna kilichotokea kabisa.
Hata mimi sikumsikia baada ya hapo, sijui kwa nini hakukomaa na career yake ya music...
 
Habari za mida hii... i hope Wana jf mpo salama kabisa...twende kaziii

Kwenye king'amuzi cha azam saizi kuna channel mpya Zamaradi tv haina miezi mingi tokea iwe on air rasmi.
Kuna kipindi kinaitwa single mothers ni kipindi kizuri kiasi Kama hao masingle mothers wataongea point jinsi walivyotoka kwenye 0 mpaka kuwa hero.

Kisa mpaka nikaandika huu uzi....Jana mida ya saa tisa mchana ilikuwa ni marudio ya kipindi cha single mothers na mgeni or single mother alikuwa ni Nakaya ni msaani wa hip-hop wa zamani kidogo kwa sasa hafanyi muziki(vijana wa amapiano mtuache kidogo😄) nikaona ngoja niwatch hiki kipindi namuamini Nakaya ni mwanaharati anatoa madini hapa jinsi alivyopitia kuwa single mother mpaka kufika hatua nzuri za kulipa bills za mtoto na maisha yake kwa ujumla kwa kiasi chake alitoa madini ambayo masingle mothers ukiangalia kipindi kile utajifunza.

Wakati anazidi kuulizwa maswali na Zamaradi, kuna swali aliulizwa kuhusu baba wa mtoto, Nakaya alitumia muda mwingi kuongelea mabaya ya mume aliyezaa nae akimuita majina mbalimbali yasiofaa mara alikuwa marioo or mwanaume asiye na future yeyote, nikaona hiki kipindi kimeletwa kwa dhumuni la kumsema mwanaume, kwanini kila likija swala la mtoto masingle mothers lawama zote kwa mwanaume wakati wote tuna haki ya kumtunza mtoto

Kwa leo naishia hapa
It's me Mohammed wa 5 mtoto wa kanali mtataView attachment 2684400
saa tisa mchana unaangalia tv ,tena kipindi cha mamas
kemea hiyo roho chafu
 
Nadhani kuna aina nne za single mothers:

(1) Waliokuwa wameolewa lakini waume zao wakafariki

(2) Waliopewa mimba na wanaume waliokuwa wakitaka kuwaoa lakini mazingira yakabadilika wanaume hao wakahama au wakahamaishiwa sehemu nyingine na mawasailiano baina yao kukatika kabla hawajaona,

(3)Waliorubuniwa au kudanganywa kuwa wanaolewa na kupewa mimba kabla ya ndoa kisha kuachwa njiani,

(4) Waliozaa bila kujua wamezalishwa na nani au walizaa na mtu ambaye hakuwa mme wao na hakuwa commited bali ilikuwa one time chap-chap.

Nawaheshimu sana wale wa aina ya kwanza na aina ya pili lakini hawa wengine nawapa heshima ya hivyo hivyo tu
No 1 ni Mjane.

No 2 na 3, ndo wakuhurumiwa na kupewa heshima yao.

No 4 nao sio haba.
 
Habari za weekend wakuu?
Kwanza kabisa bandiko hili halihusiani na wale wanaume ambao sio wawajibikaji wanaokwepa majukumu yao wakishawazalisha wanawake na halihusiani na wanawake waliozalishwa na waume za watu(hii inaitwa single mother by choice).

Kuna mambo yanahuzunisha sana kwenye jamii zetu ikiwemo hili wimbi la dada zetu/ wanawake kuzalishwa bila ya ndoa na kuachwa. Kuna muda wanaume tunabebeshwa lawama kuhusu hali hii kwa kuwaacha ambao tumewazalisha na kuoa wanawake wengine lakini chanzo kikubwa ni wao wenyewe.
Kwa hali niliyoishuhudia ni dhahiri single mothers watazidi kuongezeka kila uchwao. Kuna dada(huyu sio shemeji jamaa hataki kabisa nimwite shemeji) kazalishwa na jamaa yangu (wapo mikoa tofauti), huyu jamaa bado mambo sio freshi ila anajitahidi sana kumhudumia mwanae na huyu dada kwa kumlipia kodi, chakula n.k(ni wajibu wake).

Kinachonishangaza ni namna huyu dada anavyomtreat baba mtoto wake na kila tukikutana/kuonana hachoki/hakomi kusema mume wangu/baba fulani akinioa nitafanya hivi mara nitafanya vile(jamaa hana mpango nae zaidi ya kulea mtoto alishafanya uamuzi wa kutokumuoa kutokana na tabia zake), kiukweli huwa nabaki namsikitikia tu maana mwanaume mwenye utimamu wa akili hawezi kuoa mwanamke mwenye tabia za hovyo kiasi hiki. Umezaa na mwanamke lakini kila siku ni matukio, ukinyanyua simu kumpigia au kupokea ni matukio tu hayaishi leo hili kesho lile . Kwa tabia hizi baadhi kama za huyu dada naziorodhesha hapa chini kwanini usiwe single mother milele?

  1. Unamgeuza mtoto kuwa njia ya kipato chako&mtaji, hii ipo sana kwa wanawake wengi wanatumia watoto kama chanzo cha kupata pesa. Mahitaji ya muhimu ni haki kwa mtoto ila ukizidisha miamala ni upigaji kama upigaji mwingine. Kila siku ni kuomba hela wiki nzima unadanganya mtoto anaumwa na haumwi na sababu nyinginezo nyingi na hela ikishapatikana ni bando tu kucha kutwa kushinda tiktok na instagram. Hapa hata nilipwe mshahara ili nimuoe mwanamke wa hivi sioi.
  2. Unamtukana na kumfokea baba mtoto wako, huku ni kukosa heshima. Hili ndio lililonifanya nilete ili bandiko, hivi mwanamke mwenye heshima na unaitaka ndoa unaanzaje kumtukana mwanaume? Unamwambia mwanaume acha Useng3 we ms3nge tuma hela mtoto anaumwa na ni mzima kabisa kisa tu umelala huna bundle alafu unategemea huyo baby dady ndio aje akufanye mke? Kuna wanaume wanataabika sana kisa hawa watoto.
  3. Hutaki kufanya chochote/ kujishughulisha, mwanaume anajibana anakufungulia biashara hutaki kufanya mpaka inakufa unachotaka ni kukaa tu kuwa goli kipa. Ni kushinda mtandaoni tu na kuzurura kwenye events ambazo hazina umuhimu wowote ule.
  4. Wivu wa kipuuzi uliopitiliza, ukipiga simu isipopokelewa au ikiwa inatumika ni ugomvi na maneno ya hovyo kama vile ulikuwa na wanawake zako wengine wa huko na kujinunisha wiki nzima.
  5. Mazoea na wanaume, hii ni kujirahisisha kila mwanaume unamlilia shida zako tena kwa kumkandia baba mtoto kuwa hajali na haudumii chochote.
  6. Endeleza tabia nyinginezo zinazochangia wimbi la single mothers
Kwa tabia hizo nambariki mwamba kwa uamuzi aliouchukua nitoe angalizo kwa wanaume wenzangu tuwe makini starehe ya siku moja isijetugharimu maisha yetu yote, sio kila mwanamke ni wakupita nae tena pekupeku.

Kwenu wanawake mnaofanya haya ya kufanana na hayo alafu mnategemea kuolewa hivi mtu uko timamu kabisa unafanya mambo ya hovyo kama hayo alafu unakaa unasubiri kuolewa kabisa na unamuomba Mungu kabisa akubariki kwenye hilo?

Swali fikirishi. Kwa tabia alizonazo dada yako/zako ukiambiwa uoe mwanamke mwenye tabia zinazofanana na zake utaoa? Au ndio utajoin group la KATAA NDOA?

NAWASILISHA....

1689414458080.png
 
Hakuna tatizo linalokuja peke yake .
Shida ni watu kuishi phyziko world kifantasia zaidi ya akili na kujikuta motivesheni zinawafanya wanaruka kurasa na mwisho zinawaacha story za maisha yao hazieleweki.
#Matukio na Matokeo Kama Mbegu na mazao.
 
Back
Top Bottom