karonga
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 681
- 1,128
UmemalizaWhat I have learned in this world. ..fanya unachoweza mwanasamu hariziki na cku ukifanya kosa mazuri yote yanafunikwa ndio nature ya mwanadamu ilivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmemalizaWhat I have learned in this world. ..fanya unachoweza mwanasamu hariziki na cku ukifanya kosa mazuri yote yanafunikwa ndio nature ya mwanadamu ilivyo.
wako grupu la tatu na la nneOngezea hii
1. Ma House girl waliopewa mimba na mabosi zao
2. Wanafunzi wa Primary au Sec waliopewa mimba na wenzao au bodaboda katika umri mdogo.
Nakuunga mkono hapo namba 1 na 2Nadhani kuna aina nne za single mothers:
(1) Waliokuwa wameolewa lakini waume zao wakafariki
(2) Waliopewa mimba na wanaume waliokuwa wakitaka kuwaoa lakini mazingira yakabadilika wanaume hao wakahama au wakahamaishiwa sehemu nyingine na mawasailiano baina yao kukatika kabla hawajaona,
(3)Waliorubuniwa au kudanganywa kuwa wanaolewa na kupewa mimba kabla ya ndoa kisha kuachwa njiani,
(4) Waliozaa bila kujua wamezalishwa na nani au walizaa na mtu ambaye hakuwa mme wao na hakuwa commited bali ilikuwa one time chap-chap.
Nawaheshimu sana wale wa aina ya kwanza na aina ya pili lakini hawa wengine nawapa heshima ya hivyo hivyo tu
Nakaaya Sumari yuko wapi siku hizi? Nilipenda wimbo wake ule wa Mr Politician lakini baada ya hapo akazimika ingawa tuliambiwa alisaini na Sony lakini hakuna kilichotokea kabisa.Pole Nakaaya.
Hata mimi sikumsikia baada ya hapo, sijui kwa nini hakukomaa na career yake ya music...Nakaaya Sumari yuko wapi siku hizi? Nilipenda wimbo wake ule wa Mr Politician lakini baada ya hapo akazimika ingawa tuliambiwa alisaini na Sony lakini hakuna kilichotokea kabisa.
saa tisa mchana unaangalia tv ,tena kipindi cha mamasHabari za mida hii... i hope Wana jf mpo salama kabisa...twende kaziii
Kwenye king'amuzi cha azam saizi kuna channel mpya Zamaradi tv haina miezi mingi tokea iwe on air rasmi.
Kuna kipindi kinaitwa single mothers ni kipindi kizuri kiasi Kama hao masingle mothers wataongea point jinsi walivyotoka kwenye 0 mpaka kuwa hero.
Kisa mpaka nikaandika huu uzi....Jana mida ya saa tisa mchana ilikuwa ni marudio ya kipindi cha single mothers na mgeni or single mother alikuwa ni Nakaya ni msaani wa hip-hop wa zamani kidogo kwa sasa hafanyi muziki(vijana wa amapiano mtuache kidogo😄) nikaona ngoja niwatch hiki kipindi namuamini Nakaya ni mwanaharati anatoa madini hapa jinsi alivyopitia kuwa single mother mpaka kufika hatua nzuri za kulipa bills za mtoto na maisha yake kwa ujumla kwa kiasi chake alitoa madini ambayo masingle mothers ukiangalia kipindi kile utajifunza.
Wakati anazidi kuulizwa maswali na Zamaradi, kuna swali aliulizwa kuhusu baba wa mtoto, Nakaya alitumia muda mwingi kuongelea mabaya ya mume aliyezaa nae akimuita majina mbalimbali yasiofaa mara alikuwa marioo or mwanaume asiye na future yeyote, nikaona hiki kipindi kimeletwa kwa dhumuni la kumsema mwanaume, kwanini kila likija swala la mtoto masingle mothers lawama zote kwa mwanaume wakati wote tuna haki ya kumtunza mtoto
Kwa leo naishia hapa
It's me Mohammed wa 5 mtoto wa kanali mtataView attachment 2684400
nadhani alipoteza ya focus, kisiasa na kimziki piaNakaaya Sumari yuko wapi siku hizi? Nilipenda wimbo wake ule wa Mr Politician lakini baada ya hapo akazimika ingawa tuliambiwa alisaini na Sony lakini hakuna kilichotokea kabisa.
No 1 ni Mjane.Nadhani kuna aina nne za single mothers:
(1) Waliokuwa wameolewa lakini waume zao wakafariki
(2) Waliopewa mimba na wanaume waliokuwa wakitaka kuwaoa lakini mazingira yakabadilika wanaume hao wakahama au wakahamaishiwa sehemu nyingine na mawasailiano baina yao kukatika kabla hawajaona,
(3)Waliorubuniwa au kudanganywa kuwa wanaolewa na kupewa mimba kabla ya ndoa kisha kuachwa njiani,
(4) Waliozaa bila kujua wamezalishwa na nani au walizaa na mtu ambaye hakuwa mme wao na hakuwa commited bali ilikuwa one time chap-chap.
Nawaheshimu sana wale wa aina ya kwanza na aina ya pili lakini hawa wengine nawapa heshima ya hivyo hivyo tu
itapata majibu watu wanayohii mada inafikirisha sana,
sidhani kama ina jibu la uhakika
vaa condom😂itapata majibu watu wanayo
ni jibu zuri pia maana hali ishaanza kuwa ngumuvaa condom😂
nadhani hili ndo litakua jibu lenye mashiko uzi mzima
nyoosha kiswahili sio wote humu ni wapembaHakuna tatizo linalokuja peke yake .
Shida ni watu kuishi phyziko world kifantasia zaidi ya akili na kujikuta motivesheni zinawafanya wanaruka kurasa na mwisho zinawaacha story za maisha yao hazieleweki.
#Matukio na Matokeo Kama Mbegu na mazao.
Soma taratibu Afisa Mana ungekuwa uzi wa Nyetto nafkiri ungeshanielewa kitambo.nyoosha kiswahili sio wote humu ni wapemba
umeeleweka japo kwa taaabu sanaHakuna tatizo linalokuja peke yake .