Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Nishaachana nacho mkuu,Achana na hicho kipindi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishaachana nacho mkuu,Achana na hicho kipindi mkuu
Malezi yangekuwa ni 50/50 mzazi wa kiume asingekua anatakiwa kulipa hela ya matunzo ya mtoto monthly pale wakiwa hawaish pamoja bila kujali mama anatoa sh ngp?!Ina shida mkuu ata kwa future ya mtoto badae,ata nakaya Ana mabaya yake jamaa kaamua kuchill kimya tu, kwenye swala la usingle mother mwanaume anashambuliwa sana wakati 50/50 ya malezi ni baba na mama .
Malezi yangekuwa ni 50/50 mzazi wa kiume asingekua anatakiwa kulipa hela ya matunzo ya mtoto monthly pale wakiwa hawaish pamoja bila kujali mama anatoa sh ngp?!
Mwanaume kabla ya kuzaa inabid uwe ushajiandaa na jukumu la uzazi,mama kaz yake mimba akishazaa inabak zamu yako mazaz wa kiume?!
mkuu sijakulewa vzr unaposema una mke single mother,yan anakuwaje single mother ilhali ww upo na mmeoana?au ulimuoa akiwa na mtoto tayari?Nina mke single mother ila sijaona tabu yake sababu anajua akileta ujinga sina mda wakubembeleza wanawake ni wengi japo na mtoto naye mwengine.
Nadhani kuna aina nne za single mothers:
(1) Waliokuwa wameolewa lakini waume zao wakafariki
(2) Waliopewa mimba na wanaume waliokuwa wakitaka kuwaoa lakini mazingira yakabadilika wanaume hao wakahama au wakahamaishiwa sehemu nyingine na mawasailiano baina yao kukatika kabla hawajaona,
(3)Waliorubuniwa au kudanganywa kuwa wanaolewa na kupewa mimba kabla ya ndoa kisha kuachwa njiani,
(4) Waliozaa bila kujua wamezalishwa na nani au walizaa na mtu ambaye hakuwa mme wao na hakuwa commited bali ilikuwa one time chap-chap.
Nawaheshimu sana wale wa aina ya kwanza na aina ya pili lakini hawa wengine nawapa heshima ya hivyo hivyo tu
Tatizo mademu wakiwa kwenye ubora wao huwa wanawafagilia sana masharobaroHabari za mida hii... i hope Wana jf mpo salama kabisa...twende kaziii
Kwenye king'amuzi cha azam saizi kuna channel mpya Zamaradi tv haina miezi mingi tokea iwe on air rasmi.
Kuna kipindi kinaitwa single mothers ni kipindi kizuri kiasi Kama hao masingle mothers wataongea point jinsi walivyotoka kwenye 0 mpaka kuwa hero.
Kisa mpaka nikaandika huu uzi....Jana mida ya saa tisa mchana ilikuwa ni marudio ya kipindi cha single mothers na mgeni or single mother alikuwa ni Nakaya ni msaani wa hip-hop wa zamani kidogo kwa sasa hafanyi muziki(vijana wa amapiano mtuache kidogo😄) nikaona ngoja niwatch hiki kipindi namuamini Nakaya ni mwanaharati anatoa madini hapa jinsi alivyopitia kuwa single mother mpaka kufika hatua nzuri za kulipa bills za mtoto na maisha yake kwa ujumla kwa kiasi chake alitoa madini ambayo masingle mothers ukiangalia kipindi kile utajifunza.
Wakati anazidi kuulizwa maswali na Zamaradi, kuna swali aliulizwa kuhusu baba wa mtoto, Nakaya alitumia muda mwingi kuongelea mabaya ya mume aliyezaa nae akimuita majina mbalimbali yasiofaa mara alikuwa marioo or mwanaume asiye na future yeyote, nikaona hiki kipindi kimeletwa kwa dhumuni la kumsema mwanaume, kwanini kila likija swala la mtoto masingle mothers lawama zote kwa mwanaume wakati wote tuna haki ya kumtunza mtoto
Kwa leo naishia hapa
It's me Mohammed wa 5 mtoto wa kanali mtataView attachment 2684400
Umeongea ukweli namba 1, na mbili ATA Mimi nawapa sana respectNadhani kuna aina nne za single mothers:
(1) Waliokuwa wameolewa lakini waume zao wakafariki
(2) Waliopewa mimba na wanaume waliokuwa wakitaka kuwaoa lakini mazingira yakabadilika wanaume hao wakahama au wakahamaishiwa sehemu nyingine na mawasailiano baina yao kukatika kabla hawajaona,
(3)Waliorubuniwa au kudanganywa kuwa wanaolewa na kupewa mimba kabla ya ndoa kisha kuachwa njiani,
(4) Waliozaa bila kujua wamezalishwa na nani au walizaa na mtu ambaye hakuwa mme wao na hakuwa commited bali ilikuwa one time chap-chap.
Nawaheshimu sana wale wa aina ya kwanza na aina ya pili lakini hawa wengine nawapa heshima ya hivyo hivyo tu
HanaZamaradi Tako lake.
.......mwenye mume.........Mama/Mwanamke kwenye mume anaitwaje?
Double mother?
babu tukomae tu hadi zama iishe, zama hizi ni kitabu chao, ukiwagusa utasikia sisi ndo tunaongoza nchi!!Habari za mida hii... i hope Wana jf mpo salama kabisa...twende kaziii
Kwenye king'amuzi cha azam saizi kuna channel mpya Zamaradi tv haina miezi mingi tokea iwe on air rasmi.
Kuna kipindi kinaitwa single mothers ni kipindi kizuri kiasi Kama hao masingle mothers wataongea point jinsi walivyotoka kwenye 0 mpaka kuwa hero.
Kisa mpaka nikaandika huu uzi....Jana mida ya saa tisa mchana ilikuwa ni marudio ya kipindi cha single mothers na mgeni or single mother alikuwa ni Nakaya ni msaani wa hip-hop wa zamani kidogo kwa sasa hafanyi muziki(vijana wa amapiano mtuache kidogo😄) nikaona ngoja niwatch hiki kipindi namuamini Nakaya ni mwanaharati anatoa madini hapa jinsi alivyopitia kuwa single mother mpaka kufika hatua nzuri za kulipa bills za mtoto na maisha yake kwa ujumla kwa kiasi chake alitoa madini ambayo masingle mothers ukiangalia kipindi kile utajifunza.
Wakati anazidi kuulizwa maswali na Zamaradi, kuna swali aliulizwa kuhusu baba wa mtoto, Nakaya alitumia muda mwingi kuongelea mabaya ya mume aliyezaa nae akimuita majina mbalimbali yasiofaa mara alikuwa marioo or mwanaume asiye na future yeyote, nikaona hiki kipindi kimeletwa kwa dhumuni la kumsema mwanaume, kwanini kila likija swala la mtoto masingle mothers lawama zote kwa mwanaume wakati wote tuna haki ya kumtunza mtoto
Kwa leo naishia hapa
It's me Mohammed wa 5 mtoto wa kanali mtataView attachment 2684400
Aliekwambia singo maza ambae baba wa mtoro yupo hai jimbo lipo wazi ni nani?Sijapinga hilo, ila anakuwa anelea watoto wake akiwa hana mme. Single mother ni mwanamke anayelea watoto peke yake bila kuwa na mme. Ninajua kuna wanawake wajane na watalikiwa wanachukia hiyo label ya single mothers lakini ndiyo hivyo. Mjane mwenye watoto ni single mother kwa sababu analea watoto peke yake na jimbo liko wazi.
Ni kama ambavyo wajane wa Kiume wanaolea watoto pia walivyo single fathers.
Aje baa tunywe biaWaachie wahusika waangalie. We achana nacho mkuu.
Tusubiri povu la single mothers kwenye hicho kipindiKipind cha ovyo
Unajitekenya vizuri.Nina mke single mother ila sijaona tabu yake sababu anajua akileta ujinga sina mda wakubembeleza wanawake ni wengi japo na mtoto naye mwengine.