Hata huyo Rafiki yako siku sio nyingi hatawajibika.
Hakuna mwanaume mwenye wajibu wa kumtunza Mwanamke mpumbavu, Hilo likae Akilini
 
Inawezekana japo anaweza asifanye hvyo kwa sababu ya mtoto
Hili la kusema mwanaume anafanya hiki na kile kwaajili ya mtoto sio sawa kabisa. Na mimi skuzote nasema hapa ndipo kosa huanzia na mwisho baby mama anaanza kupata ulemavu wa akili na kujiona anayo haki juu ya baby baba wake.
Mwambie rafiki yako amchukue mwanae amlee mwenyewe, hata kama itamgharimu avumilie tu maana huyo mtoto ni matokeo ya starehe zake.
 
ila tambua kuna tabia za wanawake zinakuja baada ya kupata mtoto ,hapa anakuwa na confidence za ajabu na kuona kwamba mtoto ndo kila kitu kwake na msaada wa baadae..

Mwanamke au mwanaume anaweza kudate na mtu akiwa na shauku ya kupata mtoto ila baada ya kupata ,anakuja kutambua kwamba tabia za mwenza wake ni mbaya na kama shida yake kamaliza ya mtoto.
 
Kweli mkuu ni shida wao wanaamini watoto ni silaha
 
bado hali ya kiuchumi kwake ni changamoto na hajaseto sehemu moja na mbaya zaidi wazazi hana alilelewa na bibi ambae nae kwa sasa hayupo duniani, wangekuwepo hao ingekuwa rahisi kwake kuchukua mtoto akalelewe hata na wazazi wake.
 
noted mkuu wengi huamini hata wafanye lolote baya hakuna wa kuwatenganisha kwa sababu ya kuwa na mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…