Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Condom hatuvai, tutawatia mimba mpaka akili zao zikae sawa sawa. Haijalishi single mother wataongezeka mara dufu. Kijana kojoa ndani nasiyo vinginevyo

Kazi kuu ya mwanaume nikumpa mwanamke kazi ya kuzaa tofauti na hapo wewe sio mwezetu.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
hayo yafanyike kwa mipango na taratibu sio kukurupuka
 
View attachment 2689550

Binafsi huwa sipendi kabisa kabisa mno mwanamke mwenye mazoea na wanaume hata akiwa ni girlfriend tu achana na mke. Eti mwanamke ana rundo la male besties; na wote anabebishana nao; na hata kuwatembelea/kutembelewa na kuonana nao physically pamoja na kupewa pesa.

Hizi ni red flags ambazo ukizipuuzia zitakuja kukugharimu sana huko mbele ya safari maana kusema kweli hakuna urafiki wa bure bure tu kati ya mwanamke na mwanaume ambao siyo ndugu wa karibu. Mwanaume anakupa pesa kisa eti ni male bestie na asitegemee cho chote kutoka kwako?

Matokeo yake unakuja kugundua kuwa hawa ma male besties wake kumbe baadhi yao, kama siyo wote, huwa wanamla.

Huwa inauma sana hasa kama binti unamkubali na una mipango naye ya muda mrefu. Siwalaumu wanaoishia kukimbia japo binafsi sitakaa nikimbie jukumu takatifu la kulea kiumbe kimalaika nilichoshiriki kukileta hapa duniani tena bila ridhaa ya chenyewe. Hata mamake awe pasua kichwa namna gani tutapambana hivyo hivyo tu!
View attachment 2689570
umesema vyema kabisa mkuu, mwanamke akishakuwa na mazoea na wanaume wengi huyo ni chawote tena kwa anaetanguliza shida ndio hana namna ya kuliepuka hili
 
"2. Unamtukana na kumfokea baba mtoto wako, huku ni kukosa heshima. Hili ndio lililonifanya nilete ili bandiko, hivi mwanamke mwenye heshima na unaitaka ndoa unaanzaje kumtukana mwanaume? Unamwambia mwanaume acha Useng3 we ms3nge tuma hela mtoto anaumwa na ni mzima kabisa kisa tu umelala huna bundle alafu unategemea huyo baby dady ndio aje akufanye mke? Kuna wanaume wanataabika sana kisa hawa watoto."



Hio no mbili ndio ilisababisha nikaachana na mzazi mwenzangu na bado anaendelea na hio tabia so solution nimeamua kukaa kimya na kukata huduma nilizokua natoa ili awe na haki kabisa ya kunitukana
 
2. Unamtukana na kumfokea baba mtoto wako, huku ni kukosa heshima. Hili ndio lililonifanya nilete ili bandiko, hivi mwanamke mwenye heshima na unaitaka ndoa unaanzaje kumtukana mwanaume? Unamwambia mwanaume acha Useng3 we ms3nge tuma hela mtoto anaumwa na ni mzima kabisa kisa tu umelala huna bundle alafu unategemea huyo baby dady ndio aje akufanye mke? Kuna wanaume wanataabika sana kisa hawa watoto.



Hio no mbili ndio ilisababisha nikaachana na mzazi mwenzangu na bado anaendelea na hio tabia so solution nimeamua kukaa kimya na kukata huduma nilizokua natoa ili awe na haki kabisa ya kunitukana
aise too bad hivi wanapata wapi huo ujasiri wa kumtukana mwanaume? Tena mbaya zaidi mwanaume anaetekeleza wajibu wake
 
Hiyo siyo sheria bali ni busara.

Sheria inasema mtoto awe na miaka 7+ ndiyo alelewe na baba
Kifungu cha 26( 2 ) cha Sheria ya mtoto, namba 21 ya 2009 kinasema kuwa ni vizuri mtoto aliye chini ya umri wa miaka saba akae na mama. Hata hivyo ni vema kufahamu kuwa kifungu hiki hakikusema ni lazima( shall) mtoto wa umri huo akae na mama.
Kifungu kinasema suala la mtoto chini ya umri wa miaka saba kukaa na mama ni dhana inayoweza kutozingatiwa( rebuttable presumption). Ni dhana inayoweza kutozingatiwa kwa maana kuwa zipo sababu ambazo mtoto chini ya umri huo inaweza kuamuliwa kukaa na baba au mtu mwingine yeyote ambaye ataonekana kufaa zaidi kuliko mama.
Kwahiyo lazima tuzingatie kuwa sio lazima mtoto chini ya umri wa miaka 7 kukaa na mama.
 
Kifupi mleta mada ukitaka yote hayo yasikukute oa officially usizalishe kwanza

Peleka posa ,pangiwa mahari lipa,funga ndoa kidini kisha mzae baada ya ndoa hizo shida huwezi ona sababu kazaa ndani ya ndoa sio barabarani

Ukizaa barabarani mwanamke hana marriage security kuwa ana uhakika kama mke au mwanawe kupata huduma ya mzazi wa kiume sababu hana hata cheti chochote cha kisheria kama cha ndoa ukimbwaga.Atakosa pa kukimbilia yeye na mwanawe.

Solution rasmisha acha ubwege.Peleka posa,kalipe mahari na urasimishe kwa ndoa ya kidini huo.ujinga utaisha
 
Leo nilikuwa instagramu kwa wanaotumia huu mtandao, kwenye page ya wasafi FM wameongelea mada ya wanawake wanaozaa na waume za watu, nikataka kujua maoni ya watu juu ya hili ikabidi nisome comments….. mh!

Kama tunadhani kuna wanawake wanafanya efforts zozote kuepukana na hili wimbi la usingle mother then tunatakiwa tufikirie tena.

Kwa ujumla ni kuwa hawajali, na hawana mpango wa kujali, labda tuko kwenye dunia ya hivyo, tunawafikiria wasiojifikiria, wasiofikiria future ya watoto wao, wasiofikiria mustakabali mzima wa malezi ya watoto wao…….etc

Mtu anasema kabisa kuwa nikimpenda mwanaume nazaa tu, tukutane kwenye urithi 😂 unamfikiria huyu anaelewa kweli anachokiongea?
Bidada unakuwaga una hekima mno ninaposoma comment zako, mtu atayekuoa au kama umeolewa kapata mtu sahihi sana huna ufeminism na ushindani wakijinga na wanaume
 
Wanawake wa ckuiz Ni miyeyusho Sana, atakung'ang'ania umzalishe ili akugeuze kiteka uchumi chake kila siku haishi kukupiga mizinga.

Huyo jamaa yako Ana akili Sana aachane na huyo mchunaji aendelee na maisha Yake.
 
Back
Top Bottom