Single mother akutane na Single boy mtoto wa mama.....ahahahaa
 
Kumpata single mother mwenye akili ni nadra sana, karibia wote wanejaa changamoto tupu, jambo lisemwalo kamwe usilipuuze hata kidogo
 
Hakuna mwanaume mwenye akili timamu atakayemuacha mwanamke ambaye amemzalia mtoto/watoto kwakukubaliana na huyo mwanamke ana tabia nzuri...Usisikilize wala kuamini story na madongo yao kuhusu mzazi mwenza ukakiingia choo cha kike,UTACHUCHUMAA TU!.
 
Tatizo hili la wanawake wengi kukaa bila kuolewa ni kubwa sana siku hizi.
Kibaya zaidi wengine wameamua kuvunja ndoa zao ili wawe ma singlemothers.
Hali hii kwa kiasi kikubwa inasababishwa na kiburi kilichowajaa vichwani mwao.
Ukimgusa tu anakimbilia polisi.Hatahili swala haki sawa linasababisha vurugu majumbani,
Unakuta mama anataka amtawale mwanaume, na mwanaume naye hataki atawaliwe,na matokeo yake ni kuachana.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu siyo kila Single mother! Single mother wabaya ni wale waliozalishwa na mabwana zao harafu wakatelekezwa! Lakini wale waliofiwa na mabwana zao hao hawana shida.
 
Nyie ni wale watoto ambao mlijitunza mkiamini mtakuja kutafuta ukubwani mmefika ukubwani mmekuja kukuta mambo ni different
 
Tatizo ni sisi wanaume...unamzalisha mwanamke na unamkimbia...mwanaume kamili akimbii matatizo...

Japo na wanawake wanashida kutembea na wahuni ( wamaume wasiojitambua) kisa tu ya mionekano yao ya nje....

NB. Mwanaume aliyetelekeza mtoto huwa hawi na furaha kamwe hata akiwa na hela ni majuto nao mwamzo mwisho...bora ukizalisha mwanamke kubali tu kubeba msalaba
 
Niliwapa ukweli kama huu mabinti wa ofisini ila sijui kama walinielewa.
 
Shida yangu kwanini uzae ni single Maza na uleee watoto wake wakati kuna wasichana kibao wamejaa Tena hawana watoto.


Mwanaume tafuta pesa wanawake wapo wengi sio kwenda kujibana Kwa singo mama
Okey.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…