Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna wanaume wachache,wanaume mnaowataka ndiyo wachache,wanaume wenye Mali na warefu Weusi ndiyo chanzo cha kugongwa na kuachiwa kitotoRate ya wanaume kuwazalisha na kuwaacha imeongezeka pia wanaume ni wachache .
Ndiyo unafiki wenyewe huo?Kila anaezalisha mwanamke hataki kuoa single mom...
Mtu kazalisha wadada wawili halafu anasema sioi single mom....
Utasema watu wamerogwa Kwa upumbavu
Mimi sio singo maza tafadhalininyi watu
😁 I know that miss, nilichukulia kwa upande wa genderMimi sio singo maza tafadhali
Kumpata single mother mwenye akili ni nadra sana, karibia wote wanejaa changamoto tupu, jambo lisemwalo kamwe usilipuuze hata kidogoSioni haja ya salamu
Sisi wengine tulikuwa wabishi kama wewe, tukaone watu wa Jamiiforums wamekuwa negative sana kwa single mother.
Lakini ukweli ndio huo. Nisamehewe kwa kupuuza mafundisho yenu kuhusu single maza. Hiki ni kiumbe hatari sana,kiko kimaslahi zaidi.
Pili usionee huruma single maza anapokuja na hadithi zake za kutendwa na aliyekuwa jamaa yake. Hata kama alitendwa kweli, usionee huruma. Unaweza kuonea huruma ukamfariji na bado akakupiga tukio.
Kwa hiyo ni kukazia tu, yote yaliyosemwa humu kuhusu single maza ni kweli tupu.
Sisi ndyo tupo 😙😁 I know that miss, nilichukulia kwa upande wa gender
Crosscutting issues unazijua?mtambuka maana yake nini😅
Tatizo hili la wanawake wengi kukaa bila kuolewa ni kubwa sana siku hizi.Bonjour.
Aisee sio poa ndugu zangu, yani siku hizi single mother zimejaa sana mtaa, daaa. Yani kila Dem nikitongoza kwa ajili kuwa nae kwenye mahusiano, katika kumi, tisa ni single mother. [emoji2]
Mpaka kuna mda na stop kwa kutongoza tongoza, na mm Dem akishaniambia ana mtoto, aise moto unakata kabisa, kwani nyie madem mnaferi wapi? Au ndio utam wa pipi bila maganda.
Na katika wanaume kumi, wanaume tisa hawataki kabisa kuoa single mother, hii ratio sio poa kabisa.
Mimi sitaki kabisa, kuja kulea bao la mwanaume mwenzangu wakati huyo mwanaume mzima na hema.
At least kwa single mother aliye fiwa na mume wake, na cheti cha kifo tukione.
Nyie ni wale watoto ambao mlijitunza mkiamini mtakuja kutafuta ukubwani mmefika ukubwani mmekuja kukuta mambo ni differentBonjour.
Aisee sio poa ndugu zangu, yani siku hizi single mother zimejaa sana mtaa, daaa. Yani kila Dem nikitongoza kwa ajili kuwa nae kwenye mahusiano, katika kumi, tisa ni single mother. [emoji2]
Mpaka kuna mda na stop kwa kutongoza tongoza, na mm Dem akishaniambia ana mtoto, aise moto unakata kabisa, kwani nyie madem mnaferi wapi? Au ndio utam wa pipi bila maganda.
Na katika wanaume kumi, wanaume tisa hawataki kabisa kuoa single mother, hii ratio sio poa kabisa.
Mimi sitaki kabisa, kuja kulea bao la mwanaume mwenzangu wakati huyo mwanaume mzima na hema.
At least kwa single mother aliye fiwa na mume wake, na cheti cha kifo tukione.
Kuna watu wanajua kupiga tukio akikuacha ni anakuacha na maturity yani ni unajikuta unaweza fungua hata ofisi ya ushauriJiwe la faruma[emoji1787]
Niliwapa ukweli kama huu mabinti wa ofisini ila sijui kama walinielewa.Idadi ya singo maza ni kubwa sana Usisahau pia wanawake wengi age under 25 wapo katika machaguzi awe, mrefu awe na hela ,mwanaume asiyejua kuvaa simtaki kipindi hichi mnakuwa na market kubwa sana mnajaa dharau na kiburi matokeo yake ndio hayo mnakutana na wahuni kuzalishwa na kuachwa mkifika miaka 31 tunawaona hata hapa jf tena vigezo vikiwa vimepungua kabisa
Okey.Shida yangu kwanini uzae ni single Maza na uleee watoto wake wakati kuna wasichana kibao wamejaa Tena hawana watoto.
Mwanaume tafuta pesa wanawake wapo wengi sio kwenda kujibana Kwa singo mama