bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Hapa ni ishu ya ukosefu wa elimu ya mahusianoBonjou mensiuor, comme _nt c'ava? Ndio ni fasheni, mastaa ndio weme lounch kitu hichi. Unakuta binti mdogo ana watoto wawili kila mtoto ana baba yake lakini binti anaishi peke yake na watoto wake huku hao wababa watoto wapo hai
Mtego huuWanaume wamekuwa wachache sana na Bado wengine wameingia ushoga...
Kifupi wanaume wamepungua
Mimi nimezaa na mdada na aliniacha wakati ambao nilikuwa namuhitaji zaidi,kabaki na mtoto na mimi nimebaki peke yangu. Unajua sababu?Sababu nyingine n kuwa wanaume wengi hawataki kuoa wanataka watoto Tu.Wanaume n wachache huo ndo ukweli
Na katika wanaume kumi, wanaume tisa hawataki kabisa kuoa single mother, hii ratio sio poa kabisa.
.
Umesahau kuweka HB [emoji1787][emoji1787]Kazi kweli ukiona single maza tambua kabisa kabla hajawa mama alimchagua mwanaume mrefu mweusi mwenye ndevu anaejuwa kutupia pamba...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nichukue turudi wote. πMmomonyoko wa maadili ya kijamii na jamii kwaujumla. Unafikiri ni kuhusu uhuru, aisee. Watoto hawalelewi vizuri, mtu anazunguka kuombaomba pesa na kuuza mwili wake ili watoto wale. Aisee hiyo sio poa kama hiyo ndio 2023 basi bora nirudi 1947
Sasa mwanaume akija kwako kwa ajili ya kutaka mtoto si unakataa tu mkuu?Sababu nyingine n kuwa wanaume wengi hawataki kuoa wanataka watoto Tu.Wanaume n wachache huo ndo ukweli
Amekazia na Handsome..Umesahau kuweka HB [emoji1787][emoji1787]
Uwe na mmeo sasa wakati tunarudi, sio urudi peke yako utaharibu ndoa za 1947. πππ, mimi ninawifi yako tayari.Nichukue turudi wote. π
Mjadala ufungwe kwa comment hii, wadada wamejenga taswira za aina ya wanaume wanaowataka ambao kiuhalisia ni wachache sana. Sisi tusio nacho hawatutaki, hence wanapigwa mimba na kuachwaa.Mimi nimezaa na mdada na aliniacha wakati ambao nilikuwa namuhitaji zaidi,kabaki na mtoto na mimi nimebaki peke yangu. Unajua sababu?
Wakati mimi najitafuta yeye alikuwa anawaza mambo makubwa yaliyo nje ya uwezo wangu.
Wanaume wengi huwa tunakata tamaa ya kuoa baada ya kukutwa na haya,mwisho unakuwa ni chapa ilale.
Kwa hiyo hakuna wanaume wachache ila wanaume ambao wapo kichwani mwa wanawake wengi ndiyo wachache na hao wanaume mnaowataka ndiyo chanzo cha single mothers
Bila shaka kabisa kikubwa tukimbie huu usasa!Uwe na mmeo sasa wakati tunarudi, sio urudi peke yako utaharibu ndoa za 1947. πππ, mimi ninawifi yako tayari.
Umri unawasumbua.Nawahurumia sana hawa viumbe
Kuna kafanyakazi home kalipata mimba kakaondoka
Sasa akawa anazunguka anauza matunda
Tukamshauri mdogo wake asiwe na maisha kama ya Dada yake
Cha ajabu pamoja na onyo hilo nae akapata mimba
Sijui ni maadili au ni uzembe au upumbavu hata sielewi
Amina, kwakweli vijana tumezidi kutukuza uzinzi na mmonyoko wa maadili mpaka inakera kisa eti ni 2023. Wakati hiyo ni namba tu kutikana na mzunguko wa dunia ila dunia ni ileile ila waliobadilika ni walimwengu.Bila shaka kabisa kikubwa tukimbie huu usasa!
Hivi hii Id ipo au nimechanganya. Sijaiona kitambo humu.
Hapa sio mwana, umezaliwa na mwanamke. Mengine kwenye hizi comments ni hatred of female rather than kupeana alert. Hatuishi hivyo mkuu.Wanawake kiujumla wao ni mashetani