Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Bonjou mensiuor, comme _nt c'ava? Ndio ni fasheni, mastaa ndio weme lounch kitu hichi. Unakuta binti mdogo ana watoto wawili kila mtoto ana baba yake lakini binti anaishi peke yake na watoto wake huku hao wababa watoto wapo hai
Hapa ni ishu ya ukosefu wa elimu ya mahusiano
 
Kiukweli tuache masihara, hakuna usaliti mbaya zaidi ya ule wa kwenda kutembea na baby Dady/baby mama wako. Yaani kwamba mliachana mmeona nini hadi mmeamua kurudiana? Na nikishakukamata ninini utaniambia ili nione hamtaendeleza game?

Kila mtu achague akiwezacho aisee mi bora unisaliti na mtu mpya naweza samehe ila sio X. Ukiona ma X wanarudiana jua wanapendana wewe huna chako. What a betrayal!
 
Bonjuu mensi koma sava? sava bien? Mesibikup.

Ngoja waje watueleze nini kilisababisha kuwa singo maza.
 
Sababu nyingine n kuwa wanaume wengi hawataki kuoa wanataka watoto Tu.Wanaume n wachache huo ndo ukweli
Mimi nimezaa na mdada na aliniacha wakati ambao nilikuwa namuhitaji zaidi,kabaki na mtoto na mimi nimebaki peke yangu. Unajua sababu?
Wakati mimi najitafuta yeye alikuwa anawaza mambo makubwa yaliyo nje ya uwezo wangu.
Wanaume wengi huwa tunakata tamaa ya kuoa baada ya kukutwa na haya,mwisho unakuwa ni chapa ilale.
Kwa hiyo hakuna wanaume wachache ila wanaume ambao wapo kichwani mwa wanawake wengi ndiyo wachache na hao wanaume mnaowataka ndiyo chanzo cha single mothers
 
Na katika wanaume kumi, wanaume tisa hawataki kabisa kuoa single mother, hii ratio sio poa kabisa.
.

Sifagilii watu kuzaa nje ya ndoa ila nitashangaa kwa ambaye kashazaa/zalishwa halafu anatafuta ambaye hajazaa/zalisha.
 
Kazi kweli ukiona single maza tambua kabisa kabla hajawa mama alimchagua mwanaume mrefu mweusi mwenye ndevu anaejuwa kutupia pamba...😂😂😂😂
 
Mmomonyoko wa maadili ya kijamii na jamii kwaujumla. Unafikiri ni kuhusu uhuru, aisee. Watoto hawalelewi vizuri, mtu anazunguka kuombaomba pesa na kuuza mwili wake ili watoto wale. Aisee hiyo sio poa kama hiyo ndio 2023 basi bora nirudi 1947
Nichukue turudi wote. 😂
 
Sababu nyingine n kuwa wanaume wengi hawataki kuoa wanataka watoto Tu.Wanaume n wachache huo ndo ukweli
Sasa mwanaume akija kwako kwa ajili ya kutaka mtoto si unakataa tu mkuu?
 
Mimi nimezaa na mdada na aliniacha wakati ambao nilikuwa namuhitaji zaidi,kabaki na mtoto na mimi nimebaki peke yangu. Unajua sababu?
Wakati mimi najitafuta yeye alikuwa anawaza mambo makubwa yaliyo nje ya uwezo wangu.
Wanaume wengi huwa tunakata tamaa ya kuoa baada ya kukutwa na haya,mwisho unakuwa ni chapa ilale.
Kwa hiyo hakuna wanaume wachache ila wanaume ambao wapo kichwani mwa wanawake wengi ndiyo wachache na hao wanaume mnaowataka ndiyo chanzo cha single mothers
Mjadala ufungwe kwa comment hii, wadada wamejenga taswira za aina ya wanaume wanaowataka ambao kiuhalisia ni wachache sana. Sisi tusio nacho hawatutaki, hence wanapigwa mimba na kuachwaa.
 
Nawahurumia sana hawa viumbe

Kuna kafanyakazi home kalipata mimba kakaondoka
Sasa akawa anazunguka anauza matunda
Tukamshauri mdogo wake asiwe na maisha kama ya Dada yake
Cha ajabu pamoja na onyo hilo nae akapata mimba
Sijui ni maadili au ni uzembe au upumbavu hata sielewi
Umri unawasumbua.
 
Back
Top Bottom