Ndio wimbo wake wa pekee unaojulikana mpk keshoNakaaya Sumari yuko wapi siku hizi? Nilipenda wimbo wake ule wa Mr Politician lakini baada ya hapo akazimika ingawa tuliambiwa alisaini na Sony lakini hakuna kilichotokea kabisa.
Kwa hiyo yeye alikuwa mtu wa cinema Kwa baba Yako?
Ikawaje akawa single mother,alimcheat mshua?Wakati yuko na dingi hakuwa single mother,ilikuwa ndoa tena ya miaka mingi..[emoji16].
Kwanini kila ukikutana nae kwenye mahusiano "ana kuwa na kisanga""??Ndio walivyo hawa kaka zetu tuwaache tu kama walivyo mana tushawazoea. Wakija kwa mitandao wao ni malaika hawana kasoro kabisa.
Sawa walituleaa...Wanaume bhana,humu mko busy kukandia wakati most of them mna single mother zaidi ya wawili,
Isitoshe Kuna mliolelewa na single mothers,wajomba zenu,au baba zenu wa kambo..
Nadhani kuna aina nne za single mothers:
(1) Waliokuwa wameolewa lakini waume zao wakafariki
(2) Waliopewa mimba na wanaume waliokuwa wakitaka kuwaoa lakini mazingira yakabadilika wanaume hao wakahama au wakahamaishiwa sehemu nyingine na mawasailiano baina yao kukatika kabla hawajaona,
(3)Waliorubuniwa au kudanganywa kuwa wanaolewa na kupewa mimba kabla ya ndoa kisha kuachwa njiani,
(4) Waliozaa bila kujua wamezalishwa na nani au walizaa na mtu ambaye hakuwa mme wao na hakuwa commited bali ilikuwa one time chap-chap.
Nawaheshimu sana wale wa aina ya kwanza na aina ya pili lakini hawa wengine nawapa heshima ya hivyo hivyo tu
Visanga Kwa binadamu ni kawaida tu mbona,hata hao waliofanikiwa kuolewa bila watoto mbona Wana visanga vya kutosha?mbona wanawaletea watoto wa watu wengine ndoani?halafu hii dhana ya kuwaona single mother wakosefu na wasio na watoto ndio Wema nayo iangaliwe Kwa umakini,,,unakuta mtu hadi anaolewa kaporomosha mimba kadhaa Sasa huyo nae vipi?.....By the way huwa siamini kwenye upande mmoja ukiona mtu anadai kapigwa tukio jua tu na yeye ana shida mahali zilizopelekea tukioSawa walituleaa...
Ila mbona Hawa tunaokutana nao kwenye mahusiano "Wana visanga sanaa""????
#YNWA
Sio single mother tu hata hivi vidada vyenye miaka 25 na kuendelea. Unakuta lijitu linataka ndoa ili liwavimbie mashosti kua limeolewa lakini moyo wake upo kwa Ex. Ndio hawa wakishaizoea ndoa wanaanza kujichatisha ovyo kwa mabwana zao wa zamani! Majinga sana!!!Single maza huwa wanaingia kwenye mahusiano au ndoa kimkakati sana
Wengi wanataka tu ndoa ili kuwavimbia wengine kwamba alizalishwa lakini kaolewa
Wanapenda harusi kuliko ndoa na mume
Nazungumzia mitazamo ya wengi wenu humu namna ipo hasi hayo mengine ni ya kwako.Kwanini kila ukikutana nae kwenye mahusiano "ana kuwa na kisanga""??
#YNWA
💯🤝Sio single mother tu hata hivi vidada vyenye miaka 25 na kuendelea. Unakuta lijitu linataka ndoa ili liwavimbie mashosti kua limeolewa lakini moyo wake upo kwa Ex. Ndio hawa wakishaizoea ndoa wanaanza kujichatisha ovyo kwa mabwana zao wa zamani! Majinga sana!!!
Kuna manzi nilimdanganya tutafunga ndoa sasa siku moja wakati tunasubiri round ya tatu kunako 6×6 tukaaza vistori vya hapa na paleSio single mother tu hata hivi vidada vyenye miaka 25 na kuendelea. Unakuta lijitu linataka ndoa ili liwavimbie mashosti kua limeolewa lakini moyo wake upo kwa Ex. Ndio hawa wakishaizoea ndoa wanaanza kujichatisha ovyo kwa mabwana zao wa zamani! Majinga sana!!!
Mwanaume alie komaa katika maisha huwezi kuta mlalamishi ( mwenye malalamiko ya hovyo hovyo kuhusu wana waita single mother ). Mwanamke alie zaa hana tatizo na hatuwezi hitimisha single mother hawafai huku kila mtu ana story ya maisha yake.... na kisa chake kilichofanya awe alivyo.. Wanaume tusifanye hawa wadada wakawa wanyonge tuwape moyo mkuu.. kila mwanadamu hukosea kwa sehemu na kila mwanadamu ana nafasi ya kurekebishaVisanga Kwa binadamu ni kawaida tu mbona,hata hao waliofanikiwa kuolewa bila watoto mbona Wana visanga vya kutosha?mbona wanawaletea watoto wa watu wengine ndoani?halafu hii dhana ya kuwaona single mother wakosefu na wasio na watoto ndio Wema nayo iangaliwe Kwa umakini,,,unakuta mtu hadi anaolewa kaporomosha mimba kadhaa Sasa huyo nae vipi?.....By the way huwa siamini kwenye upande mmoja ukiona mtu anadai kapigwa tukio jua tu na yeye ana shida mahali zilizopelekea tukio
Kwani hivyo "visanga" si ndio hasi yenyewe, kwanini singo Maza wengi hugawa mzigo kwa baby daddy?Nazungumzia mitazamo ya wengi wenu humu namna ipo hasi hayo mengine ni ya kwako.
Labda ni kwasababu wewe ni mwanamke, ila singo Maza wanavipengele sanaaaa..... ukiona mtu anadai kapigwa tukio jua tu na yeye ana shida mahali zilizopelekea tukio
Kwanini sasa singo Maza huwa na visanga, nimedate nao wa3 (mahusiano zaidi ya miezi 6) ila katika hao watatu sababu kuu ya kuachana nao ni ""Kuendeleza mahusiano na baby daddy zao, Tena mpaka wakanyanduana""Mwanaume alie komaa katika maisha huwezi kuta mlalamishi ( mwenye malalamiko ya hovyo hovyo kuhusu wana waita single mother ). Mwanamke alie zaa hana tatizo na hatuwezi hitimisha single mother hawafai huku kila mtu ana story ya maisha yake.... na kisa chake kilichofanya awe alivyo.. Wanaume tusifanye hawa wadada wakawa wanyonge tuwape moyo mkuu.. kila mwanadamu hukosea kwa sehemu na kila mwanadamu ana nafasi ya kurekebisha
Punguzen kuwajudge singo mamaz, nyie wenyewe mna matatizo lukuki msijikute malaika. Kama hamtaki mahusiano nao pigeni kimya hamna mtu anawalazimishaKwani hivyo "visanga" si ndio hasi yenyewe, kwanini singo Maza wengi hugawa mzigo kwa baby daddy?
#YNWA