RealixT
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 1,547
- 2,751
Ndio wimbo wake wa pekee unaojulikana mpk keshoNakaaya Sumari yuko wapi siku hizi? Nilipenda wimbo wake ule wa Mr Politician lakini baada ya hapo akazimika ingawa tuliambiwa alisaini na Sony lakini hakuna kilichotokea kabisa.