Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Kitu kingine.
Single mazas wakiolewa na MTU ambaye hajazaa na mwanamke mwingine wanakuwaga na wivu Sana. Lakini wao wanamawasiliano ya Siri na waliowazalisha.
Kingine wanapenda Sana kuwalisha waume zao kimbwata.
 
Ndoa ni makubaliano kati ya mwanaume au mwanamke kuishi pamoja kama Mme na Mke! Haijalishi kama ni Single ili mradi tu asiwe aliachika kwa mmewe na anataka kuolewa na mwanamme mwingine wakati mmewe yuko hai au mwanamme asiwe aliacha mke na anataka kuoa tena kingali mkewe aliyemwacha anaishi.
Mimi sikuoa Single mother lakini bado nawatetea! Kama hakuna kipingamizi cha kuolewa, waolewe tu! Uzuri wao wanakuwa wazoefu katika mapenzi!
 
Ndio walivyo hawa kaka zetu tuwaache tu kama walivyo mana tushawazoea. Wakija kwa mitandao wao ni malaika hawana kasoro kabisa.
Kwanini kila ukikutana nae kwenye mahusiano "ana kuwa na kisanga""??

#YNWA
 
Wanaume bhana,humu mko busy kukandia wakati most of them mna single mother zaidi ya wawili,

Isitoshe Kuna mliolelewa na single mothers,wajomba zenu,au baba zenu wa kambo..
Sawa walituleaa...
Ila mbona Hawa tunaokutana nao kwenye mahusiano "Wana visanga sanaa""????

#YNWA
 
Ongezea wenye viburi wakaachwa.
Nadhani kuna aina nne za single mothers:

(1) Waliokuwa wameolewa lakini waume zao wakafariki

(2) Waliopewa mimba na wanaume waliokuwa wakitaka kuwaoa lakini mazingira yakabadilika wanaume hao wakahama au wakahamaishiwa sehemu nyingine na mawasailiano baina yao kukatika kabla hawajaona,

(3)Waliorubuniwa au kudanganywa kuwa wanaolewa na kupewa mimba kabla ya ndoa kisha kuachwa njiani,

(4) Waliozaa bila kujua wamezalishwa na nani au walizaa na mtu ambaye hakuwa mme wao na hakuwa commited bali ilikuwa one time chap-chap.

Nawaheshimu sana wale wa aina ya kwanza na aina ya pili lakini hawa wengine nawapa heshima ya hivyo hivyo tu
 
Sawa walituleaa...
Ila mbona Hawa tunaokutana nao kwenye mahusiano "Wana visanga sanaa""????

#YNWA
Visanga Kwa binadamu ni kawaida tu mbona,hata hao waliofanikiwa kuolewa bila watoto mbona Wana visanga vya kutosha?mbona wanawaletea watoto wa watu wengine ndoani?halafu hii dhana ya kuwaona single mother wakosefu na wasio na watoto ndio Wema nayo iangaliwe Kwa umakini,,,unakuta mtu hadi anaolewa kaporomosha mimba kadhaa Sasa huyo nae vipi?.....By the way huwa siamini kwenye upande mmoja ukiona mtu anadai kapigwa tukio jua tu na yeye ana shida mahali zilizopelekea tukio
 
Single maza huwa wanaingia kwenye mahusiano au ndoa kimkakati sana

Wengi wanataka tu ndoa ili kuwavimbia wengine kwamba alizalishwa lakini kaolewa

Wanapenda harusi kuliko ndoa na mume
Sio single mother tu hata hivi vidada vyenye miaka 25 na kuendelea. Unakuta lijitu linataka ndoa ili liwavimbie mashosti kua limeolewa lakini moyo wake upo kwa Ex. Ndio hawa wakishaizoea ndoa wanaanza kujichatisha ovyo kwa mabwana zao wa zamani! Majinga sana!!!
 
Kuna manzi nilimdanganya tutafunga ndoa sasa siku moja wakati tunasubiri round ya tatu kunako 6×6 tukaaza vistori vya hapa na pale

Akawa ananisimulia jinsi alivyoumia ex wake wa zamani alipomuoa mdada mwingine. Anasema yule mwanamume alimliza sana haijawahi kutokea katika maisha yake

Moyoni nikajiambia atakayemuoa huyu ni hasara kihalisi inaonekana moyo wake uko kwa yule ex na ni rahisi kupasha kiporo
 
Visanga Kwa binadamu ni kawaida tu mbona,hata hao waliofanikiwa kuolewa bila watoto mbona Wana visanga vya kutosha?mbona wanawaletea watoto wa watu wengine ndoani?halafu hii dhana ya kuwaona single mother wakosefu na wasio na watoto ndio Wema nayo iangaliwe Kwa umakini,,,unakuta mtu hadi anaolewa kaporomosha mimba kadhaa Sasa huyo nae vipi?.....By the way huwa siamini kwenye upande mmoja ukiona mtu anadai kapigwa tukio jua tu na yeye ana shida mahali zilizopelekea tukio
Mwanaume alie komaa katika maisha huwezi kuta mlalamishi ( mwenye malalamiko ya hovyo hovyo kuhusu wana waita single mother ). Mwanamke alie zaa hana tatizo na hatuwezi hitimisha single mother hawafai huku kila mtu ana story ya maisha yake.... na kisa chake kilichofanya awe alivyo.. Wanaume tusifanye hawa wadada wakawa wanyonge tuwape moyo mkuu.. kila mwanadamu hukosea kwa sehemu na kila mwanadamu ana nafasi ya kurekebisha
 
.... ukiona mtu anadai kapigwa tukio jua tu na yeye ana shida mahali zilizopelekea tukio
Labda ni kwasababu wewe ni mwanamke, ila singo Maza wanavipengele sanaaaa.
Nilishawahi date nae, yaani mahusiano ya kipindi kifupi tuuu ila nilichokutana nacho ..!!!
Labda kwasababu wewe ni mwanamke, ila ungekuwa mwanaume ningekwambia ""Mtafute mmoja uone maajab""

#YNWA
 
Mwanaume alie komaa katika maisha huwezi kuta mlalamishi ( mwenye malalamiko ya hovyo hovyo kuhusu wana waita single mother ). Mwanamke alie zaa hana tatizo na hatuwezi hitimisha single mother hawafai huku kila mtu ana story ya maisha yake.... na kisa chake kilichofanya awe alivyo.. Wanaume tusifanye hawa wadada wakawa wanyonge tuwape moyo mkuu.. kila mwanadamu hukosea kwa sehemu na kila mwanadamu ana nafasi ya kurekebisha
Kwanini sasa singo Maza huwa na visanga, nimedate nao wa3 (mahusiano zaidi ya miezi 6) ila katika hao watatu sababu kuu ya kuachana nao ni ""Kuendeleza mahusiano na baby daddy zao, Tena mpaka wakanyanduana""
Kwanini sasa wanakuwa hivyo???

#YNWA
 
Back
Top Bottom