Haya makosa yanakuwa kwa mwanamke kwa nn huyo jamaa asije kujitambulisha kwenu? Kwa nn umvulie chupi wakati kwenu hajaleta hata mia ya mahari?
Ni Kweli uhalali wa mapenz ni hadi ndoa lakini Kuna mengi kwenye jamii tunazoishi tunashindwa kutekeleza Hilo hata wanaume pia ni hivo hakuna mwenye uhalali wa kuzini kabla ya ndoa
 
Umenena vema mkuu

Hakika sijajuta kuku follow,ukiona nimemfollow member hapa JF basi huyo anaakili na mitizamo sawa na yangu
 
Ni Kweli uhalali wa mapenz ni hadi ndoa lakini Kuna mengi kwenye jamii tunazoishi tunashindwa kutekeleza Hilo hata wanaume pia ni hivo hakuna mwenye uhalali wa kuzini kabla ya ndoa
Tatizo ni moja kwa sasa hatuendi na asili mambo ni mengi mwanamke kipind akiwa kweny baleghe unakuta bado anasoma na hawezi kuolewa.

Hapo nyege ni mbaya ni rahisi kushawishika ,mbona zamani hizi mambo hazikuwepo kwa sasa mtoto hata awe na dini unashangaa huko chuo anarudi na mtoto na wengine ndio hao wanatoa mimba.
 
Wahuni tunashona tu na tunawakamia wenyewe wanaona mbegu tamu acha zirutubishe tu
 
Umenena vema mkuu

Hakika sijajuta kuku follow,ukiona nimemfollow member hapa JF basi huyo anaakili na mitizamo sawa na yangu

Yaani kuna mijitu mijinga kweli, yaani ATI kisa mamaako au dada zako ni Single mother basi hiyo ndio iwe kufuli la kukuziba mdomo.

Mashetani majinga Sana.

Unajua kama MTU ni Mwema, haoni shida kusema Makosa hata kama yeye aliwahi kuyatenda, ni sehemu ya kuungama na kutubu ili wengine wasiwe kama yeye.
Sasa shetani hapendi uovu ukemewe na kudhihakiwa, na lengo ni kuzidisha idadi kubwa ya wahanga
 
Dj walete
 
Mama yangu alishaniambia usithubutu kuoa singo maza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ