Nsikuchoshe na Usinchoshe,kwa kifupi tusichoshane!.
Hii kauli inapaswa iendane na matendo yenu,siyo matendo yenu muyaache Km zaidi ya 50 halafu kauli zenu zikiwa zimetangulia mbele.
Msipobadirika niwahakikishie hili suala la kuitwa Singo Maza halitokaa liishe na tutaendelea kulipigia kelele na kuwacharua hadi mvute midomo kama sukununu!.
Haiwezekani ukawa mwanamke wa kuwavulia chupi kila wanaume halafu mwisho wa siku uitwe Singo Maza Uchukie!,Sidhani kama utakuwa na akili timamu sawasawa!.
Mengine yakishapewa vihela vya bia kidogo yanadhani huyo ndiye mwanaume kumbe naye ametega ndoano zake anase samaki akafanye kitoweo,bila kujiuliza na wewe unanasa mzima mzima halafu leo unakuja kutia huruma hapa.
Hatuwezi kuwa na jamii ya mijianamke ambayo imezoea kuvua vua chupi ovyo kwa kila mwanaume halafu tusiyaseme!
MWANAMKE KUITWA SINGO MAZA SI KWASABABU YA UJANJA WA WANAUME BALI NI UJINGA WA MWANAMKE MWENYEWE!.
NIPO HAPA MBEZI INN MTAA WA KISIGA HOUSE NO_ 68,NJOONI MNIUE WAPUUZI NYIE!