Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Wengi wanafurahia mahangaiko Yao mwanamke kubeba mimbayako Inatosha kabisa kumheshimu anaharibika mwili anapoteza mvuto,mwingine anakuwa mgonjwa wapo wanaooteza maisha kwaajili ya kuwalet watoto duniani sisemi kuwa single mama ni Bora sio sawa kuwakejelj na kuwakashfu
Unawezaje kumbebea mimba mwanaume asiyekuwa mumeo?,Hivi huo uthubutu mnaupata wapi?Wengi wanafurahia mahangaiko Yao mwanamke kubeba mimbayako Inatosha kabisa kumheshimu anaharibika mwili anapoteza mvuto,mwingine anakuwa mgonjwa wapo wanaooteza maisha kwaajili ya kuwalet watoto duniani sisemi kuwa single mama ni Bora sio sawa kuwakejelj na kuwakashfu
Leo Niko ofsn kuna kabint kamekuja kana mimba namuuliza vipi tena et kananijibu nimeamua tu niwe Na mtoto una malengo gani hakuna jibu nikakafukuzia mbali stak watu wapuuz
Haiwezekani mkuu
Hata mimi huwa nawatetea katika yote lakini hili hapana kwa kweli!
Na ndio hiyo hiyo mijanamke inatuita mbwa tukiisha itumia baada ya kuvu chupiHatuwezi kuwa na jamii ya mijianamke ambayo imezoea kuvua vua chupi ovyo kwa kila mwanaume halafu tusiyaseme!
MWANAMKE KUITWA SINGO MAZA SI KWASABABU YA UJANJA WA WANAUME BALI NI UJINGA WA MWANAMKE MWENYEWE!.
NIPO HAPA MBEZI INN MTAA WA KISIGA HOUSE NO_ 68,NJOONI MNIUE WAPUUZI NYIE!
Ukiwa una muelekeza mtu alafu majibu yake anajiona ulimwengu ndio Wa kwake inabd umuwache akapambane na ulimwengu wake kana majibu ambayo huwezi fikiri kwa umri wake anaweza kukujibu ni kabint ambacho kamedate Na watu wazima kwahyo yeyote anaemuona anaona anawamudu nakafahamu muda mrefu Na nilishakakanya hakuwakunielewaHukufanya Fair.
Ni kajinga lakini kana Haki ya kusaidiwa na kuelimishwa.
Wewe ni Kaka yake hata kama ni wahiyari.
Lakini zaidi wewe ni Mwanaume, jukumu lako ni kuhakikisha jamii yako inakuwa salama akiwepo huyo Binti.
Siku nyingine usirudie.
HahahahaUkiwa una muelekeza mtu alafu majibu yake anajiona ulimwengu ndio Wa kwake inabd umuwache akapambane na ulimwengu wake kana majibu ambayo huwezi fikiri kwa umri wake anaweza kukujibu ni kabint ambacho kamedate Na watu wazima kwahyo yeyote anaemuona anaona anawamudu nakafahamu muda mrefu Na nilishakakanya hakuwakunielewa
Wengi wako hvLeo Niko ofsn kuna kabint kamekuja kana mimba namuuliza vipi tena et kananijibu nimeamua tu niwe Na mtoto una malengo gani hakuna jibu nikakafukuzia mbali stak watu wapuuz
Ukiwa una muelekeza mtu alafu majibu yake anajiona ulimwengu ndio Wa kwake inabd umuwache akapambane na ulimwengu wake kana majibu ambayo huwezi fikiri kwa umri wake anaweza kukujibu ni kabint ambacho kamedate Na watu wazima kwahyo yeyote anaemuona anaona anawamudu nakafahamu muda mrefu Na nilishakakanya hakuwakunielewa
Ulifanya jambo sahihi kabisaNilikuwa Na mmoja nilimpa kila kitu alafu bado akataka anipande kichwani wakat pesa za kwangu nikapiga chini sina muda
Wewe ni single Maza.HUNA AKILI KABISA! BILA SHAKA NI KIJANA WA HOVYO JOBLESS AMBAYE UKO KWENYE 20's NA HUJITAMBUI WALA NINI
Subiri mtoto wake aoneshe nuru ya kuyaweza maisha [emoji16][emoji16]Nina mke single mother ila sijaona tabu yake sababu anajua akileta ujinga sina mda wakubembeleza wanawake ni wengi japo na mtoto naye mwengine.
Ni bahat mbaya πππUnawezaje kumbebea mimba mwanaume asiyekuwa mumeo?,Hivi huo uthubutu mnaupata wapi?
Hili swali mnaliruka futi 100
We BAZAZI unaongea na Dumbe la mbegu linaloheshimu na kuthamini wanawake. Sifa kuu ya mwanamke ni kuzaa! Ungekuwepo bila mwanamke?! Ningekueleza mengi ila nafkiri nazungumza na mtu asiyejielewa. Muda wa kutumikia taifa huu we endelea na uropokaji wakoWewe ni single Maza.
Una Nuksi, Mkosi Gundu na Laana.
Jana ulifunguliwa uzi kwamba usamehewe... umekuwa na ushawishi mkubwa sana mpaka inafikia hatua ukivunja sheria na mods wakiamua kukuadabisha wananchi wanaingilia kati. Umefanikiwa kuaminisha umma kwamba wewe ni Muheshimiwa Rais ππππππΎNiliwahi kuwaeleza humu JF na naendelea kuwakumbusha:
Hakuna "single mother" duniani, hajawahi kutokea na haitotokea.
Kila mtoto ana mama'ke na baba'ke.
Ukiona "singo mama" hana hata mwanamme wa kumbambikia huyo mtoto elewa kuwa alizaa na baba'ke, kaka'ke, mjomba'ke.
Siri tu zinafichwa.
Nakwambia hivi, Single Maza ni Nuksi Mkosi, Gundu na Laana.We BAZAZI unaongea na Dumbe la mbegu linaloheshimu na kuthamini wanawake. Sifa kuu ya mwanamke ni kuzaa! Ungekuwepo bila mwanamke?! Ningekueleza mengi ila nafkiri nazungumza na mtu asiyejielewa. Muda wa kutumikia taifa huu we endelea na uropokaji wako
Punguza ukali wa maneno we MPUMBAVU! Umeamka na pombe kichwani au hellucination za mabangi na maunga zinakupa uchizi kidogokidogo?! π€Nakwambia hivi, Single Maza ni Nuksi Mkosi, Gundu na Laana.
Hao wanawake na wao wasinge kuwepo bila wanaume.
Unatetea ujinga na upumbavu wa single mothers.
Hakuna thamani kwa mwanamke mjinga hasa single Maza.
Huwezi kujenga hoja.Punguza ukali wa maneno we MPUMBAVU! Umeamka na pombe kichwani au hellucination za mabangi na maunga zinakupa uchizi kidogokidogo?! [emoji848]