Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Wengi wanafurahia mahangaiko Yao mwanamke kubeba mimbayako Inatosha kabisa kumheshimu anaharibika mwili anapoteza mvuto,mwingine anakuwa mgonjwa wapo wanaooteza maisha kwaajili ya kuwalet watoto duniani sisemi kuwa single mama ni Bora sio sawa kuwakejelj na kuwakashfu
Binti abebe mimba mkiwa mnapendana na sio vinginevyo.
Tatizo mimba zinabebwa Watu wakiwa kwenye tamaa unategemea heshima hapo?
Kwanza Sisi wanaume wenyewe tunajidharau pale tunapofanya sex na Mwanamke Kwa tamaa alafu tunajutia. Hivi unategemea mimba itakayotoka hapo tutaifurahia na kumheshimu huyo MWANAMKE?
Embu tuongee black and white, tuweke unafiki pembeni tuliouzoea kwenye jamii yetu