Wanaenda hadi beach kabisa hotelini ,au swimming pool kabisa duh inahitaji Moyo wa chuma cha mjerumani
 
Hapa ndio pagumu ss
 
Nimepata fursa ya kuwasikiliza vijana wenzangu kadhaa, jinsi walivyopata watoto wengi wao wanakwambia wao walikuwa wanawaza kwamba wana hang out tu na mabinti na sio wapate watoto.
Mimi rafiki yangu, nakumbuka karud sku hiyo amechanganyikiwa ana niambia braza nime moa mtu mimba, kumbe yule sista alimtegea. Jamaa hana mpango naye ni dada mzuriiii na wamezaa mtoto mzuriii ila ndio kawa single parent.
Japo hata jamaa yangu huwa namlaum sana kwa hilo
 
Wanaenda hadi beach kabisa hotelini ,au swimming pool kabisa duh inahitaji Moyo wa chuma cha mjerumani
Pia mimi nadhani pigo kubwa kwa sisi wanaume ni kutoheshimiwa yaani ujue kuna mazingira ya wewe kuletewa dhereu lazima uwaze tu.
 
Unapiga moyo konde tu braza
Lakini hapo commitment ya mwanamke ndio inatakiwa yeye anatakiwa a dedicate maisha yake kwako sio baba mtoto kagusia tukumbushie zamani basi yeye kajaa tu.
Braza dunia hii siyo ya kumwamini mtu
Ila basi unapiga moyo kondw tuu. Hakuna namna
 
Commitment usimlaumu jamaa yako, unaweza kuta jamaa kuna vitu anaona bado yaani kwake mtoto anakuwa kama setback. wakati sio kweli
 
Wanaenda hadi beach kabisa hotelini ,au swimming pool kabisa duh inahitaji Moyo wa chuma cha mjerumani
Hahaha
Eeeh maana kuna vitu wewe baba utakuwa unataka umkabe mama lakini unakumbuka utakuwa una mnyima fursa mtoto ya ku enjoy utoto wake na wazazi so unabako kuwa mpole
 
Pia mimi nadhani pigo kubwa kwa sisi wanaume ni kutoheshimiwa yaani ujue kuna mazingira ya wewe kuletewa dhereu lbazima uwaze tu.

Unajua watu wakishazaa kunakuwa na strong link baina yao na wanawake walivyo kujisahau ni faster tu.
Na hapo ndipo tatizo linapoanzia bro.
 
Hao unaodhani kuwa hawajazaa unajidanganya maana wengi n mama wa marehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…