Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
Nawaza braza kwakuwa pamoja na kuwa yule mtoto ntamlea lakini kuna sku itabid wakutane wapange mipango ya mtoto wao. Wampeleke skull, watoke naye out waka barizi [emoji1]. Eeh maana mtoto anahitaji mapenzi ya wazaz wote wawili ikiwa tu wako hai.
Sasa usalama wa moyo wangu utakuwa wap hapo?

Wanaenda hadi beach kabisa hotelini ,au swimming pool kabisa duh inahitaji Moyo wa chuma cha mjerumani
 
Hapa ndio pagumu ss
 
Nimepata fursa ya kuwasikiliza vijana wenzangu kadhaa, jinsi walivyopata watoto wengi wao wanakwambia wao walikuwa wanawaza kwamba wana hang out tu na mabinti na sio wapate watoto.
Mimi rafiki yangu, nakumbuka karud sku hiyo amechanganyikiwa ana niambia braza nime moa mtu mimba, kumbe yule sista alimtegea. Jamaa hana mpango naye ni dada mzuriiii na wamezaa mtoto mzuriii ila ndio kawa single parent.
Japo hata jamaa yangu huwa namlaum sana kwa hilo
 
Unapiga moyo konde tu braza
Lakini hapo commitment ya mwanamke ndio inatakiwa yeye anatakiwa a dedicate maisha yake kwako sio baba mtoto kagusia tukumbushie zamani basi yeye kajaa tu.
Braza dunia hii siyo ya kumwamini mtu
Ila basi unapiga moyo kondw tuu. Hakuna namna
 
Mimi rafiki yangu, nakumbuka karud sku hiyo amechanganyikiwa ana niambia braza nime moa mtu mimba, kumbe yule sista alimtegea. Jamaa hana mpango naye ni dada mzuriiii na wamezaa mtoto mzuriii ila ndio kawa single parent.
Japo hata jamaa yangu huwa namlaum sana kwa hilo
Commitment usimlaumu jamaa yako, unaweza kuta jamaa kuna vitu anaona bado yaani kwake mtoto anakuwa kama setback. wakati sio kweli
 
Wanaenda hadi beach kabisa hotelini ,au swimming pool kabisa duh inahitaji Moyo wa chuma cha mjerumani
Hahaha
Eeeh maana kuna vitu wewe baba utakuwa unataka umkabe mama lakini unakumbuka utakuwa una mnyima fursa mtoto ya ku enjoy utoto wake na wazazi so unabako kuwa mpole
 
Pia mimi nadhani pigo kubwa kwa sisi wanaume ni kutoheshimiwa yaani ujue kuna mazingira ya wewe kuletewa dhereu lbazima uwaze tu.

Unajua watu wakishazaa kunakuwa na strong link baina yao na wanawake walivyo kujisahau ni faster tu.
Na hapo ndipo tatizo linapoanzia bro.
 
Kwangu Mimi kuoa mwanamke au binti aliyezalishwa nyumbani ni ugonjwa .

Haiwezekani mwanaume huna tatizo lolote unaoa binti/mwanamke wa hivyo .

Wengine mtasema mimba bahati mbaya, !! Serious kabisa kivipi mtu anatongozwa anakubali Hadi anavua chupi bado anakubali jamaa anapiga kavu et! bahati mbaya acheni utani.
Kama ni kubakwa leteni hizo statistics zinazoenyesha kuwa waliobakwa lazima wapate mimba.

Binti ameendekeza CHIPS na Hela za wa kware Mimi nije kukuoa na mtoto wako eh .;!
Najua mtasema na wanaume wenye watoto je hao wamechukua watoto nyie mbna waliowazalisha hawajachukua watoto.?
Nyie wanawake/wasichana wenye watoto pambaneni na hali zenu..

NOTE: HAPA WAJANE HAWAHUSIKI.
...wengine wamezaa na waume za watu kabisa duh
... Poleni single mother.
Hao unaodhani kuwa hawajazaa unajidanganya maana wengi n mama wa marehemu
 
Back
Top Bottom