Tachu hano
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,506
- 2,518
Nawaza braza kwakuwa pamoja na kuwa yule mtoto ntamlea lakini kuna sku itabid wakutane wapange mipango ya mtoto wao. Wampeleke skull, watoke naye out waka barizi [emoji1]. Eeh maana mtoto anahitaji mapenzi ya wazaz wote wawili ikiwa tu wako hai.
Sasa usalama wa moyo wangu utakuwa wap hapo?
Wanaenda hadi beach kabisa hotelini ,au swimming pool kabisa duh inahitaji Moyo wa chuma cha mjerumani