Wanahitaji faraja na sio ule moyo wa mapenzi na ndio maana amesema wapo ki socio economic status na kumaliza hisia zao

the great
 
Dah kama mi nmetokea kupendana na single maza m1,ni chuma hatar, bado hatujaanza mahusiano rasmi,nipo kwenye probation,.kwa uzur wa huyu dada sjui itakuaje,..na amenielewa kwelkwel,namii nimemuelewa,nshamtoa diner moja,mediteraneo pale,yaan mdada mzur had ananipa mawazo,nawaza kanielewaje hiv mtoto kama huyu,.sijapata jib,af inaonekana huko alikokua kulikua njema saana,yan ile saana,ila kuna kitu alikiongea,maana tulivotoka pale nkampeleka sehem nkamnunulia mwanae pizza ampelekee home,sasa kuna kitu akadokeza,ndo kinanipa mawazo kweli,niingie mazima au la..
 
Shida ni kwamba hao ambao wametoa mimba ni siri yao. Lkn single mama amejiwekea lebo kuwa nilimegwa....mara kadhaa mpk nikapata mototo.
 
Mega usepe, vinginevyo itakula kwako mkuu
 
Shida ni kwamba hao ambao wametoa mimba ni siri yao. Lkn single mama amejiwekea lebo kuwa nilimegwa....mara kadhaa mpk nikapata mototo.
Hakuna shida hapo wewe..sijaona kabisaaaaa tatizo khs kuoa mtu mwenye mtoto. It makes no difference na wapya hao..
 
Mmmh leo humu ndani patachimbika ngoja waje,ngoja nichukue pop corn na coke yabarid nikae kwenye siti yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unauhakika gani mama yako sio single mama!! Inawezekana huyo unayemuita Baba sio baba yako mzazi ila amesingiziwa mimba na mama yako hivyo nawe upo kwenye grp la mtoto kutoka kwa single mama....kabla ya kuandika kaa na ujifikirie mara kadhaa je wewe sio Mhenga kutoka kwa single mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kitu gani mheshimiwa, naomba ukitaje huenda ukapata ushauri hapa
 
Mkuu ume nena jambo rafikiangu alikutana na singo mother ambaye kiukweli moyo wa kupenda hauko ndani yake tena juzi ameniambia kwamba, yani kupenda single mother ni sawa na kujitwisha gunia la mavi ambalo Muda wowote lina kunukia.
 
Ila mi huwa najiuliza hivi ukiwa na single mother jamaa akipiga Simu kumjulia hali mtoto wake huku nyie mmetulia yaan sijui unajiskiaje?au mkeo anakwambia baby subiri kidogo niongee na baba flan..au anaongelea pembeni...!!!!au mbele yako...au unakausha tu!!!!
Na ukimwangalia huyo mtoto wake unajiskiaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu gani mheshimiwa, naomba ukitaje huenda ukapata ushauri hapa
Wakat tunaagana,akawa ananishkuru kua nmempa burudan sana leo,pia kipind niko nae frm mchana,alikua anapokea sana phone calls,akiongea ni mambo ya shule ya mwanae,amerudishwa home,alikua anapigiwa sim na bro wake kua atamrushia chochote kitu ajazie ada,..sasa nkatafakar ,nkasema mmh huu mzigo nsije bebeshwa mie ,..yan tokea juz naskilizia hko kizinga,ila bado sjapigwa,.naskilizia though..ingawa tunawasiliana kama kawaida tokea juz na hajadokeza hzo mambo za vizinga,sasa sjui ni uoga wangu tuu.maana
 
Sio kosa mwanaume kuoa single mom....tatizo akili zenu zafikiria bikira tu....sifa kubwa za mwanamke ni kuwa na upendo wa dhati,mwenye tabia njema,mwenye huruma,mchamungu,mwenye busara...sasa kama mwanamke single mom anazo hizo kwanini nisimuoe? DONT JUDGE A BOOK BY ITS COVERS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…