Umejiuliza swali ambalo nimekuwa nikijiuliza. Ndo zitakwisha siku za usoni..maana wasichana wameamua kuzaa ovyo bila plan.
 
Hahahaa. Wacheni hizo mawazo bana.

Unaweza pata mama mwenye mtoto na akawa ni mwanamke bora kuwahi kutokea kuliko huyo asiye na mtoto.
Wanatulia siku za mwanzo lakini huko mbeleni mwanamke atakuja kukusumbua na mwanae. Nimeshuhudia wengi. Lingine huwezi jiaminisha kwa aliyezaa naye maana wengi utakuta wanaendelea.na mahusiano. Na mara nyingi kisingizio ni mtoto unayemlea wewe.
 
Na wanaolewa kweli na kuwa acha wasio na watoto
 
We washangaa hilo kuna jamaa alioa demu mwenye mimba ya mtu mwingine na alijua fika kuwa demu kapewa mimba kisha akatoswa hivyo mshkaji akaokota dodo chini ya mnazi na akalea mimba mpaka demu kajifungua sasa wanalea katoto.
Hongera yake thawabu hiyo [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] penzi halina macho
 
Baba alinisihi mwanangu usiwahi wala usijaribu kuoa mwanamke/msichana aliye zalia nyumbani. Utajuta........!!!!!
 
Wanatulia siku za mwanzo lakini huko mbeleni mwanamke atakuja kukusumbua na mwanae. Nimeshuhudia wengi. Lingine huwezi jiaminisha kwa aliyezaa naye maana wengi utakuta wanaendelea.na mahusiano. Na mara nyingi kisingizio ni mtoto unayemlea wewe.

ehee ni hatari kwa kweli duh
 
Baba alinisihi mwanangu usiwahi wala usijaribu kuoa mwanamke/msichana aliye zalia nyumbani. Utajuta........!!!!!

Mimi kuna watu wamenitolea povu et nakula kwa shikamoo duh

wengine nipo chuo ila kiuhalisia sio jambo njema kuoa mwanamke aliyezalishwa nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…