kwa maisha ya sahivi hamna sababu ya msingi ya kuoa kabisa.....
 
Sielewi hapa,mbona povu hivi!!!!
Aiseee magufuli nyokooo. Povu Kila kuona mwanaume jinsi vtuma vilivyo wakaza
 
We ice tutuee ,,ndio vijana waanze kueleimishwa toka wadogo kujikinga na kutumia condom waelezwe ukweli
 
Hahahaa
Watu wako careless sana halaf wanakwambia eti ukipenda ua sjui penda na boga lake, hata sjui ule msemo.

Ina niumiza sanaa wadada wanapewa mimba hovyo hovyo sku hizi
Maandishi yako yanaonesha wew ni good boy ...ukisali omba sana upate ubavu wako unaostahili
 
Kweli braza mimi nimetulia sana yaan halaf nakutana na mwanamke tunaenda kila kitu ila ana mtoto. Ina add budern.
Halaf wenyewe wanachukuliaga simple et kama ume mpenda hutajali mtoto,ni kazi sana hii.
Sasa wale tulo tulia ndio tunaumia [emoji1]
Nakuombea uoe single mom najua una akili nyingi na upendo mwingi
 
Eehehehe!
Sawa lakini uutaje at least una jina, japo naweza nisiuone.

Ili kama huo ukimwengu ndio suluhisho la mimba za hovyo basi tuhamaishe watua wengi wahamie huko.
Mimi hii shda ina nikera ujue
Hahaaa usitutenge wewe,,tunawafata huko huko na mitoto yetu ,,ndio mjitolee sasa wanaume mnasababisha hili pia
 
Sawa lkn mara nyingi wanaume hawataki kutumia kinga. Wanaume wanaongoza kutokutumia kinga
Hyo n kweli lkn mwanadada ukiona
Jamaa hatak kinga c unahaki
ya kukataa sema uoga ndo hua
Unawaponza

Pia mwanaume anaekataa dam
Yake n mpumbavu kiwango cha
Lami stupid!!
 
Hyo n kweli lkn mwanadada ukiona
Jamaa hatak kinga c unahaki
ya kukataa sema uoga ndo hua
Unawaponza

Pia mwanaume anaekataa dam
Yake n mpumbavu kiwango cha
Lami stupid!!
Kukataa tunaogopa kuachwa, na hapo tumeshapenda tayari
 
Swala la mahusiano ni pasua kichwa, kuoa asie na mtoto au alie na mtoto ni uchaguzi wako tu, mfano hai kuna binti ana mtoto, pia katoa mimba juzi tu apa nyingine.
Muhimu kua makini na kumuomba Mungu kwenye uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…