hapanaNa amekuoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapanaNa amekuoa
We ice tutuee ,,ndio vijana waanze kueleimishwa toka wadogo kujikinga na kutumia condom waelezwe ukweliIla jamani kufika miaka kama 15 ujayo
Tanzania itakuwa ni kizazi cha ma baba wa kambo na mama wa kambo. This is not good for our nation jamaani.
Wabongo punguzine mchezo huu, tumieni kinga basi, wengine tumetulia kwa hiyo kuja kuwa mababa wa kambo mtakuwa mnatuonea. Kuna kina dada wametulia kuwa mama wa kambo mna waonea.
Kina dada pia muwe makini usizae na mtu asiye na mpango na wewe. Wale walio fiwa sina tatzo nao.
Maandishi yako yanaonesha wew ni good boy ...ukisali omba sana upate ubavu wako unaostahiliHahahaa
Watu wako careless sana halaf wanakwambia eti ukipenda ua sjui penda na boga lake, hata sjui ule msemo.
Ina niumiza sanaa wadada wanapewa mimba hovyo hovyo sku hizi
HahahahaAsante tumekuelewa na tunafanyia kazi mausia yako
Kwahiyo watu wafanye nini, toa kidogo ushaurikwa maisha ya sahivi hamna sababu ya msingi ya kuoa kabisa.....
Nakuombea uoe single mom najua una akili nyingi na upendo mwingiKweli braza mimi nimetulia sana yaan halaf nakutana na mwanamke tunaenda kila kitu ila ana mtoto. Ina add budern.
Halaf wenyewe wanachukuliaga simple et kama ume mpenda hutajali mtoto,ni kazi sana hii.
Sasa wale tulo tulia ndio tunaumia [emoji1]
AsanteHahahaha
Sawaaa! Na mimi nalifanyia kazi
Eti inauma jamani wengine baba zao wamekufaMungu atuhelp bro, unajikuta mtu umempenda basi inabid uwe baba wa kambo what would you do. Lakin inauma
Hiyo ni kwa muda tu ila huwez kutowasiliana nae mileleWengi wakiamua kulea mtoto mwenyew hata namba za simu hubadili ili asiwasiliane na mzaz mwenzie
siku ya kwanza na kitu na box
Kuna wenzenu bila single mom hawajafurahiHuu uzi si salama kabisa kwa baadhi ya member wa jinsia ile...
Sielewi hapa,mbona povu hivi!!!!
Aiseee magufuli nyokooo. Povu Kila kuona mwanaume jinsi vtuma vilivyo wakaza
Sielewi hapa,mbona povu hivi!!!!
Aiseee magufuli nyokooo. Povu Kila kuona mwanaume jinsi vtuma vilivyo wakaza
Hahaaa usitutenge wewe,,tunawafata huko huko na mitoto yetu ,,ndio mjitolee sasa wanaume mnasababisha hili piaEehehehe!
Sawa lakini uutaje at least una jina, japo naweza nisiuone.
Ili kama huo ukimwengu ndio suluhisho la mimba za hovyo basi tuhamaishe watua wengi wahamie huko.
Mimi hii shda ina nikera ujue
Hyo n kweli lkn mwanadada ukionaSawa lkn mara nyingi wanaume hawataki kutumia kinga. Wanaume wanaongoza kutokutumia kinga
Dunia na maajabu yakeNgoma draw unakimbia huku nako huku madada wanakimbiwa na kuzalishwa hovyo kina uncle kibao
Kukataa tunaogopa kuachwa, na hapo tumeshapenda tayariHyo n kweli lkn mwanadada ukiona
Jamaa hatak kinga c unahaki
ya kukataa sema uoga ndo hua
Unawaponza
Pia mwanaume anaekataa dam
Yake n mpumbavu kiwango cha
Lami stupid!!