Point
 
wananikera na hizi nyuzi zao utadhani hizo mimba huwa tunazitengeneza wenyewe! badala hata kutupongeza kwa uvumilivu wa kulea peke yetu wanalazimisha watu kupta dhambi ya mauwaji kwa kuogopa society itamjudge vipi
Povuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Waachie wenzio.
As long as hakuzaa na mwanamke mwenzie.
Wengi huishia kulaumu single mama ila sidhani kama wameshakaa na kuzungumza waliyoyapata mpaka wakaamua kuanza upya bila wazaz wenzio,Hamna MTU anapenda kulea mwenyewe ila mazingira yanaamua,Wengi huwa wametulia ila wanapata wanaume vichomi,Nakama kutoa utatoa ngapi?wakati mpenzi anakwambia pipi namaganda sio tamu
 
Tatizo huwa kwa pande zote mbili, ila kwa sisi wanaume utampaje mwanamke mimba ambae huna malengo nae. Binafsi siwez kumfanya mwanangu awe mtoto wa kambo na siwez kuoa mwanamke mwenye mtoto tayari. Wanaume tujitahidi kuishi na wanawake tuliowazalisha ili mtoto apate malezi ya wazazi wote wawili.
 

na hili ndo jambo la msingi we ukizalishwa jitahidi uishi na huyo baba mtoto.

ili kupunguza mambo yasiyo na ulazima
 

Unapokubali hapo wa kulaumiwa ni mwanamke . unaoa mtu haeleweki bado unapanua bila kinga aisee
 
Yule ambaye hajazaa inawezekana K yake imetembea km nyingi kushinda aliyezaa jambo kubwa ni maelewano mkuu
 
Mtoa mada na wengine mliosupport ni selfish sana.
Aina yenu ndo mnaosupport mwanaune kuna mwanamke nje ni uanaume lakini mwanamke akiwa na mwanaume nje malay**
...Waacheni wadada wa watu. Everyone has a different story. Stop judging!
 
Kuzaa Watoto Baba/mama Tofauti Tofauti Ni Janga Kubwa Pindi Wazazi Wanapofariki Hakuna Maelewano Kwa Hao Watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…