Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Umeonaeee. Hakuna mwanamke anayependa ulezi wa peke yake aisee.Siku zote kitanda hakizai haramu na daima mtoto hana makosa,na mwanamke hapend kulea mtoto mwenyew ila ikibidi analea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeonaeee. Hakuna mwanamke anayependa ulezi wa peke yake aisee.Siku zote kitanda hakizai haramu na daima mtoto hana makosa,na mwanamke hapend kulea mtoto mwenyew ila ikibidi analea
Hahaaaa. Sema wewe mumy. Anavyoponda utadhania katika wanaomzunguka wote ni wasafi.Wamezalisha bila kuoa na hapo wana tunza watoto wa dada zao ambaoa hata baba zao hawajulikani
Halafu wanao ongea saana ni watoto wa mama yawezekana hata baba zao hawajawahi waona
Hahahaaa. Huenda ikawa ila sidhani kama wasio na watoto huwa hakuna wasumbufu.Hakuna wanawake wasumbufu Kama hawa viumbe tena wanapenda kulazimisha ndoa, uache kuolewa na aliyekuzalisha uje unigande mimi, pambaneni na hali zenu.
Hahaaa. Mpashe afahamu huyooo.Kwa taarifa yako n mimi naolewa ndani ya mwaka huu na mwanaum nadhifu kabisa na wa dini moja.....alafu yeye ndio kaanza kuzimika kwangu[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Namsubiria na mie mwaya.Alete jib apa haraka
Hahahaa. Sasa ushahidi una shida gani Mkuu kama mtaelewana?Nadhani hoja ya mtoa hoja ni ule ushahidi ndo unaoumiza, mengine kama huyajui ni poa tu.
uko sahihi mkuu kwa WAJANE hamna shida kwa sababu naamini hawakupenda
ila hawa waliopata kwa kupenda kwao hapana aisee.
kuna wengine hawataki kutumia kinga mwisho wanapata mimba
Umeonaeee. Na pia naona ni dalili za ubinafsi hizo alizonazo aisee.Msamehe bure. Ni mtazamo wake japo ametukana. Ni ishara tu ya ni mtu wa aina gani - si muungwana- simple. Unachoona hakifai kwako si lazima kisifae kwa mwingine pia. Unapopenda piza na burger kilimbukeni, mwenzio anapenda matembele kiafya zaidi.
Hahahaa. Nitapinga mpaka kesho Mkuu.Hapo kunakuwa hakuna ushahidi wa moja kwa moja,ila mtoto ni ushahidi kuwa ulivua pichu na kupigwa kavukavu na mara nyingi siyo mara moja, kwamba kilikuwa kimchezo cha mara kwa mara
Subiri povu mdogo wangu. Teh tehHata kuolewa na mwanaume mwenye mtoto kwao ni ulemavu wa akili[emoji57]
Na kweli aisee.Umri unamsumbua
Hahahaa. Ni Me bwana
Hahahaa. Sawa Mkuu.Chukua soda kwa mange hapo nakuja kulipia
Kweli kabisa Mkuu na Kitanzania tanzania hakuna ukoo ambao unaweza sema wote wamezaa ndani ya ndoa na hakuna single mothers yaani hiko kitu akipo. Hivyo hapaswi kuwadharau kwa kweli.ngoja limkute bint yake, au dada ake ndo atapata akil
Hahahaa. Kwani ukiwa wa kwanza kuna faida gani Mkuu?Bora aliyetumika angalau nitampa kumbukumbu ya kumpeleka labor, sasa Bikira nikose, hata kuwa wa kwanza kumpeleka labor nikose! Over my dead body.
Hahaa cha wapi mkuuUko sahihi kabisa mkuu,
Ni bora kuoa asiye na mtoto ila kazitoa za kutosha.
Sijavuta, ndo kwanza nasokota
Umeonaeee. Usemalo ni kweli kabisa Mkuu.Mi naona,kama ameshakuwa makombo lakini bado anapata mtu wa kumuoa wakati kuna wasio na watoto lakini hawapati wa kuwaoa,basi huyu aliozalishwa na kupata mtu atakuwa na mvuto wa hali ya juu sana unaomfanya aweze kukubalika pamoja na hali alionayo HIVYO anaestahili kuitwa makombo ni yule asiepata mtu wa kumuoa..
Mmh. Mie hata sielewi kwa nini mlio wengi hofu ni kwa aliyemzalisha kwamba wataendelea.Wanatulia siku za mwanzo lakini huko mbeleni mwanamke atakuja kukusumbua na mwanae. Nimeshuhudia wengi. Lingine huwezi jiaminisha kwa aliyezaa naye maana wengi utakuta wanaendelea.na mahusiano. Na mara nyingi kisingizio ni mtoto unayemlea wewe.
Hahahaa. Lol.Kama khadija kopa vile[emoji125] [emoji125]