Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa
uko sahihi mkuu kwa WAJANE hamna shida kwa sababu naamini hawakupenda
ila hawa waliopata kwa kupenda kwao hapana aisee.
kuna wengine hawataki kutumia kinga mwisho wanapata mimba

Na hao wanaotoa zaidi 10 si ndo hatari kulko. Michuma kibao imepita na anaweza asizae tena.
 
Msamehe bure. Ni mtazamo wake japo ametukana. Ni ishara tu ya ni mtu wa aina gani - si muungwana- simple. Unachoona hakifai kwako si lazima kisifae kwa mwingine pia. Unapopenda piza na burger kilimbukeni, mwenzio anapenda matembele kiafya zaidi.
Umeonaeee. Na pia naona ni dalili za ubinafsi hizo alizonazo aisee.
 
Hapo kunakuwa hakuna ushahidi wa moja kwa moja,ila mtoto ni ushahidi kuwa ulivua pichu na kupigwa kavukavu na mara nyingi siyo mara moja, kwamba kilikuwa kimchezo cha mara kwa mara
Hahahaa. Nitapinga mpaka kesho Mkuu.

Mtoto sio ushahidi wa kutumika sana bwana sababu kuna visichana unakuta enzi za usichana siku alipojaribu huo mchezo akapata mimba hapo hapo sasa huyo utasema alikuwa mzowefu mwenye hako kamchezo.

Hapana aisee Mkuu.
 
ngoja limkute bint yake, au dada ake ndo atapata akil
Kweli kabisa Mkuu na Kitanzania tanzania hakuna ukoo ambao unaweza sema wote wamezaa ndani ya ndoa na hakuna single mothers yaani hiko kitu akipo. Hivyo hapaswi kuwadharau kwa kweli.
 
Mi naona,kama ameshakuwa makombo lakini bado anapata mtu wa kumuoa wakati kuna wasio na watoto lakini hawapati wa kuwaoa,basi huyu aliozalishwa na kupata mtu atakuwa na mvuto wa hali ya juu sana unaomfanya aweze kukubalika pamoja na hali alionayo HIVYO anaestahili kuitwa makombo ni yule asiepata mtu wa kumuoa..
Umeonaeee. Usemalo ni kweli kabisa Mkuu.
 
Wanatulia siku za mwanzo lakini huko mbeleni mwanamke atakuja kukusumbua na mwanae. Nimeshuhudia wengi. Lingine huwezi jiaminisha kwa aliyezaa naye maana wengi utakuta wanaendelea.na mahusiano. Na mara nyingi kisingizio ni mtoto unayemlea wewe.
Mmh. Mie hata sielewi kwa nini mlio wengi hofu ni kwa aliyemzalisha kwamba wataendelea.

Kwani kwa mwanamke uliyemkuta ameshatumika hawezi kuingia ndoani halafu akawa na mahusiano na jimbo lake la nyuma?
 
Back
Top Bottom