Kwangu mimi kuoa mwanamke au binti aliyezalishwa nyumbani ni ugonjwa.
Haiwezekani mwanaume huna tatizo lolote unaoa binti/mwanamke wa hivyo.
Wengine mtasema mimba bahati mbaya! Serious kabisa kivipi mtu anatongozwa anakubali hadi anavua chupi bado anakubali jamaa anapiga kavu et! Bahati mbaya acheni utani.
Kama ni kubakwa leteni hizo statistics zinazoenyesha kuwa waliobakwa lazima wapate mimba. Binti ameendekeza chips na hela za wakware mimi nije kukuoa na mtoto wako eh!
Najua mtasema na wanaume wenye watoto, je hao wamechukua watoto nyie mbona waliowazalisha hawajachukua watoto?
Nyie wanawake/wasichana wenye watoto pambaneni na hali zenu.
NOTE: HAPA WAJANE HAWAHUSIKI.
Wengine wamezaa na waume za watu kabisa duh!
Poleni single mother.