Hakuna wanawake wasumbufu Kama hawa viumbe tena wanapenda kulazimisha ndoa, uache kuolewa na aliyekuzalisha uje unigande mimi, pambaneni na hali zenu.
Hahahaaa. Huenda ikawa ila sidhani kama wasio na watoto huwa hakuna wasumbufu.
 
uko sahihi mkuu kwa WAJANE hamna shida kwa sababu naamini hawakupenda
ila hawa waliopata kwa kupenda kwao hapana aisee.
kuna wengine hawataki kutumia kinga mwisho wanapata mimba

Na hao wanaotoa zaidi 10 si ndo hatari kulko. Michuma kibao imepita na anaweza asizae tena.
 
Msamehe bure. Ni mtazamo wake japo ametukana. Ni ishara tu ya ni mtu wa aina gani - si muungwana- simple. Unachoona hakifai kwako si lazima kisifae kwa mwingine pia. Unapopenda piza na burger kilimbukeni, mwenzio anapenda matembele kiafya zaidi.
Umeonaeee. Na pia naona ni dalili za ubinafsi hizo alizonazo aisee.
 
Hapo kunakuwa hakuna ushahidi wa moja kwa moja,ila mtoto ni ushahidi kuwa ulivua pichu na kupigwa kavukavu na mara nyingi siyo mara moja, kwamba kilikuwa kimchezo cha mara kwa mara
Hahahaa. Nitapinga mpaka kesho Mkuu.

Mtoto sio ushahidi wa kutumika sana bwana sababu kuna visichana unakuta enzi za usichana siku alipojaribu huo mchezo akapata mimba hapo hapo sasa huyo utasema alikuwa mzowefu mwenye hako kamchezo.

Hapana aisee Mkuu.
 
ngoja limkute bint yake, au dada ake ndo atapata akil
Kweli kabisa Mkuu na Kitanzania tanzania hakuna ukoo ambao unaweza sema wote wamezaa ndani ya ndoa na hakuna single mothers yaani hiko kitu akipo. Hivyo hapaswi kuwadharau kwa kweli.
 
Umeonaeee. Usemalo ni kweli kabisa Mkuu.
 
Wanatulia siku za mwanzo lakini huko mbeleni mwanamke atakuja kukusumbua na mwanae. Nimeshuhudia wengi. Lingine huwezi jiaminisha kwa aliyezaa naye maana wengi utakuta wanaendelea.na mahusiano. Na mara nyingi kisingizio ni mtoto unayemlea wewe.
Mmh. Mie hata sielewi kwa nini mlio wengi hofu ni kwa aliyemzalisha kwamba wataendelea.

Kwani kwa mwanamke uliyemkuta ameshatumika hawezi kuingia ndoani halafu akawa na mahusiano na jimbo lake la nyuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…